Swali kwa wanaume

Swali kwa wanaume

Point of correction,
Si wanaume wote wapo hivyo> wengine tuu waaminifu kabisa. Na kabla hujalalamika mmeo anatoka nje jiulize kwanza uone kama unawezapata even hypothesis

Na wewe point of correction, sio kuwa mume wangu anatoka nje but nimeuliza coz of malalamiko ambayo nimesikia wanaume wengi wakilalamika wakati wao wenyewe viwembe.

Na sijasema wote but ni asilimia kubwa. Soma hata post nyingi humu kama wewe ni JF member active utaona men seem ok wao kucheat
 
Men got zips kwa trousers zao so i think ni mtu kuchagud either zip it or let it open ol da time. Its like ol men av da same father, they think they can conker da world. With this poligamy thing men think they can av lots of women while a woman is entitled to only one man. Just let them spread their wings but when they get AIDS they will fold their tails. My dear men n hey i know its not all of you but you who spread your wings all over its just not fair. You hurt us ladies. We might not have the guts to tell you but keep in mind that its hurting alot. You spread alot but God is watching over. Please be faithful and stay safe
 
kuna watu kweli wana ushauri utafikiri waganga wa kienyeji, karne hii kweli unamshauri mtu acheat!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hatushauri hivyo, bali tunatoa mafunzo elekezi!.
 
Mpwa hajui yule. The opposite is the truth kwenye hili. Kama wewe humegi basi ujue unamegewa! Unatuona tunaomega hatuna akili? Kalaghaboho!

Mkuu Crispin, mwenzio leo akirudi nyumbani atamuangalia mai wafu wake mara tatu tatu huku kichwani akijiuliza si ajabu huyu naye wanammega. Maraha yote anayonipa mimi kumbe kuna njemba nyingine nayo inafaidi uroda huu. Sasa JF inaanza kuwaweka watu kwenye kizungumkuti cha kutowaamini tena tena waume/wake zao maana wanajua mambo ni kumegana ole wako ukakusa mawayawaya. Kwa maoni yangu mapenzi ya kweli bado yapo lakini ni nadra sana kuyapata katika dunia hii tuliyokuwa nayo sasa mume hamuamini mke na mke hamuamini mume hivyo wote kutokana na kuaminiana huko au kutokana na mmoja wao kugundua kwamba mwenzie anafanya ufirauni nje ya ndoa basi wote wanacheza viwanja vya ugenini. Kwa hiyo ukiamini kama mapenzi yenu ni mapenzi ya kweli basi yamwagilie maji, kuyaenzi na kutia mbolea kila kukicha 😉 ili penzi lenu lisinyauke maana likishanyauka ni kazi ngumu mno kulirutubisha tena.

Kwa hiyo True Love ipo bali ni nadra kuipata na penzi hilo haliji kwa siku moja, wiki moja au mwezi mmoja bali ni a long process ambayo inataka nurturing na input kutoka pande zote mbili za wahusika. Tatizo wanaume wengi siku hizi hata wanawake kwa kiasi fulani huo muda hatuna tunafikiri mambo ya nani wa kummega mwingine au kumegwa naye na hivyo unaweza kuwa na True Love lakini usigundue maana uko busy kufukuzia totos and njembas nyingine.


Open your eyes wide open ha ha ha ha ha ha 😉 na pia utegemee kwamba True Love unaweza kabisa kuipata mahali ambapo usipotegemea kabisa pia ukumbuke kama ilivyo LULU penzi la kweli ni nadra sana katika dunia tuliyonayo leo hii na kwa maoni yangu penzi la kweli ni more than just ubinadamu na utu kama walivyochangia wachangiaji wengine, IT IS SOMETHING VERY VERY SPECIAL.
 
As long as majority ya wanawake watapenda wanaume warefu zaidi yao - I don't foresee this stopping anytime soon-, hili litaendelea.

It is as if women want to be dominated by a more powerful man, as if they enjoy a position of relative weakness, a position of not being as powerful as the man, a position of being protected by the man.

It is all good if the man is faithful, but if he is abusive it is quite another matter.
 
Back
Top Bottom