Yaani komenti zako hapa Jf sijui ukoje mkuu 🤣Mwanaume hana kikomo, yani ni kama mbowe tu..... Kwahiyo wanaume ni mbowe.
Hela hazina Cha vijana wa la wazee Wala hazina uhusiano na six pack mbona wezee wengi ni choka mbaya au nao walikuwa wavaa mtepesho?Vyovyote vile uwe kijana au mzee lazima uwe na hela! Vijana wanajizima data na kutengeneza sijui sixpack, sijui mlegezo, sijui kujua kuimba/kutongoza/swagga, nk, hizo zote haziwezi kuwa mbadala wa hela. Kumudu familia lazima uwe na hela! Zamani vijana walikuwa wanaozeshwa na baba zao na kupewa nguvu za kiuchumi! Siku hizi haipo tena ndo maana nafasi ya vijana kuoa ni ndogo kwasababu hamna hela!
Kwa umri huo kama anajitafuta hawezi jipataNever date mwanaume WA miaka 45 na kuendelea .tena ukute kaachika
Labda mkewe awe alikufa
Au awe na hela kabisaa.ila kama anajitafuta kimbia
😁😀😜🙂😍😜! Mimi na beibi yangu nimemzidi saana miaka! Siku kajifungua niko nje nasubiri, nesi ananishangaa "ulimdanganya na nini huyu binti" 😁😁Kuoa na kuolewa ni muda wowote, tatizo linakuja kwenye kuzaa.!!
Mwanaume yeye hata akizeeka ana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito, tatizo lipo kwetu wanawake tunapenda kuolewa mapema ili tuzae sababu sisi ndio waendaji leba na walezi..!! Sasa ukizeeka huo muda ukibeba mimba matatizo ya kiafya ni mengi..!!
Kwenda leba ukiwa kibibi na kitumbo hata hainogi kiukweli 😹😹😹
Aisee mimi nikikuzidi hata mwezi tu hisia haziji, bora kupata babu mwenzangu tu😀Vi benteni vipo vinapenda kujiegesha kwa mashangazi
Jacob Zuma ana binti mbichi na wanakatoto kadogo!!Reginard Mengi alioa na kuzaa akiwa na miaka 75! Tafuta hela mwamba! Nenda viwanja uone totozi wanatoka na watu wa umri hupi?
Ha ha ha ha kama nakuona ukiwa na ka mr kasongo ka engine ya v2005Aisee mimi nikikuzidi hata mwezi tu hisia haziji, bora kupata babu mwenzangu tu😀
Nijibu na mimi, “Ulimdanganya nini huyo binti mpk akakubebea mimba?” 😜😁😀😜🙂😍😜! Mimi na beibi yangu nimemzidi saana miaka! Siku kajifungua niko nje nasubiri, nesi ananishangaa "ulimdanganya na nini huyu binti" 😁😁
🤣Kuoa ni Kitendo cha kushea jinsia mbili tofauti kwa pamojaMwanaume anaoa kuanzia pale anapogundua kumbe mwanamke ana tundu lenye utelezi linalotakiwa kupachikwa paipu...
Wakati ulifika nikataka kuoa kwa sharti awe ni yule nitakayesema "naaaam" nakwambia! Nilikuwa sikauki makusanyiko ya totooz za udsm! Wakati wa jioni kula canteen! Graduation! Mida ya jioni wanatoka kujisomea! Huyu nilimbananisha jioni anaenda hosteli za Magufuli nakaribu na viwanja vya mpira/swimming pool! Kwakweli nilikuwa nimejipanga! Sikuwa mnyonge! Siku hiyo niliambulia! "Mimi sikujui"! Mara ya pili sehemu hile hile nikamwambia "siku ya leo utakuwa unanijua" akasema "yeah!" Nikamwomba namba akanipa ndo hapo "kwishney". Nilifuata taratibu zote na kuozeshwa kihalali kabisa! Sasa hivi tuna furaha kama zoote! 😍😛Nijibu na mimi, “Ulimdanganya nini huyo binti mpk akakubebea mimba?” 😜
Oya kizuri, kula na mwanao hapa baba usitufanyie hivo wanaoWakati ulifika nikataka kuoa kwa sharti awe ni yule nitakayesema "naaaam" nakwambia! Nilikuwa sikauki makusanyiko ya totooz za udsm! Wakati wa jioni kula canteen! Graduation! Mida ya jioni wanatoka kujisomea! Huyu nilimbananisha jioni anaenda hosteli za Magufuli nakaribu na viwanja vya mpira/swimming pool! Kwakweli nililuwa nimejipanga! Sikuwa mnyonge! Siku hiyo niliambulia! "Mimi sikujui"! Mara ya pili sehemu hile hile nikamwambia "siku ya leo utakuwa unanijua" akasema "yeah!" Nikamwomba namba akanipa ndo hapo "kwishney". Nilifuata taratibu zote na kuozeshwa kihalali kabisa! Sasa hivi tuna furaha kama zoote! 😍😛
🤣🤣🤣🤣Mwanaume hana kikomo, yani ni kama mbowe tu..... Kwahiyo wanaume wote ni mbowe.
Mwanaume akiamua kuoa ataoa tu, sio hata mpaka awe na pesa nyingi utayari wake tu wa kuoa na uwezo wa kuhudumia familia. Mwanaume anaweza kuoa kwa umri wowote.Habarini,
Hili swali nimewauliza hasa hasa wadada wa humu watoe their honest opinions, ila hata wanaume wa humu mnaweza kujibu,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa wadada wanakua na thamani kwenye macho ya wanaume kuanzia miaka 17, thamani yao inakua kwenye peak kati ya miaka 18-23 (kwenye hiki kipindi wanaume wengi sana wanawatongoza), kuanzia miaka 28 thamani ya mwanamke kwenye soko inashuka taratibu akifikia miaka 30+ idadi ya wanaume wanaomtongoza na wenye nia ya kumuoa inapungua.
Tuje kwenye sexual market value ya mwanaume, kwa mimi binafsi nahisi mwanaume pia soko lake linaanza kuwa kubwa akianza balehe, akifikia miaka 30 na kuendelea, uso wake unaanza zeeka, hivyo chances za kuoa mdada mwenye miaka 22 zinapungua, labda awe vizuri kiuchumi. Ila kama mwanaume ana miaka 35 hawezi kukubaliwa na mdada wa miaka 22 coz mdada ataona huyu mkubwa sana kwangu, umri wote alikua wapi hajaoa, uso wa mwanaume umeanza kuchoka/kuzeeka, hivyo inabidi mwanaume atumie pesa ili amshawishi mdada.
Nafikiri mwanaume ukiwa na miaka 18-25 unaweza kuoa kirahisi hata kama huna pesa, huna hela wala kazi rasmi ila unamchukua mdada unamzalisha, mnaanza kuishi ile life ya sogea tukae huku mnaunga unga maisha, ila ukiwa na miaka 35 halafu bado kiuchumi uko hoi, itakua ni ngumu zaidi kwako kufanya hivyo. The only way mwanaume utaweza oa mdada wa miaka 22, ukiwa na miaka 36 ni mpaka uwe vizuri kiuchumi
Au my sisters wa jf mnasemaje Labella To yeye Missy Gf Evelyn Salt Heaven Sent Donatila financial services Midekoo Numbisa Lamomy NAKWEDE