Swali kwa wanawake: Ni umri gani mwanaume akifikia kama hajaoa hawezi kuoa tena labda awe na pesa nyingi?

Swali kwa wanawake: Ni umri gani mwanaume akifikia kama hajaoa hawezi kuoa tena labda awe na pesa nyingi?

Vyovyote vile uwe kijana au mzee lazima uwe na hela! Vijana wanajizima data na kutengeneza sijui sixpack, sijui mlegezo, sijui kujua kuimba/kutongoza/swagga, nk, hizo zote haziwezi kuwa mbadala wa hela. Kumudu familia lazima uwe na hela! Zamani vijana walikuwa wanaozeshwa na baba zao na kupewa nguvu za kiuchumi! Siku hizi haipo tena ndo maana nafasi ya vijana kuoa ni ndogo kwasababu hamna hela!
Hela hazina Cha vijana wa la wazee Wala hazina uhusiano na six pack mbona wezee wengi ni choka mbaya au nao walikuwa wavaa mtepesho?

Vijana wenye waowezeshwa na wazee wao wapo mpaka leo
 
Fanya upya uchunguzi wako kijana, wadada hawapendi watoto wenzao.

Wengi wanaamini mwanaume akiwa above 30 anajitambua na yupo tayari kuoa, katulia na sida kama hizo ila umri huo ndio wanaume wengi wanakua tayari washaoa.

Yaani miaka 36 ukataliwe na bint wa miaka 22, miaka 22 ujue ni binti mkubwa na huenda kimuonekano mkaendana.
 
Kuoa na kuolewa ni muda wowote, tatizo linakuja kwenye kuzaa.!!

Mwanaume yeye hata akizeeka ana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito, tatizo lipo kwetu wanawake tunapenda kuolewa mapema ili tuzae sababu sisi ndio waendaji leba na walezi..!! Sasa ukizeeka huo muda ukibeba mimba matatizo ya kiafya ni mengi..!!

Kwenda leba ukiwa kibibi na kitumbo hata hainogi kiukweli 😹😹😹
 
Kuoa na kuolewa ni muda wowote, tatizo linakuja kwenye kuzaa.!!

Mwanaume yeye hata akizeeka ana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito, tatizo lipo kwetu wanawake tunapenda kuolewa mapema ili tuzae sababu sisi ndio waendaji leba na walezi..!! Sasa ukizeeka huo muda ukibeba mimba matatizo ya kiafya ni mengi..!!

Kwenda leba ukiwa kibibi na kitumbo hata hainogi kiukweli 😹😹😹
😁😀😜🙂😍😜! Mimi na beibi yangu nimemzidi saana miaka! Siku kajifungua niko nje nasubiri, nesi ananishangaa "ulimdanganya na nini huyu binti" 😁😁
 
Nimeoa nikiwa na miaka 42, Tena nimeoa Binti wa miaka 19. Sina hela Sina chochote Cha maana. Binti ametulia, wamesemaaaa weee mpaka wamechoka. Binti kaweka pamba masikioni. 2020 kanipatia Dume na mwaka Jana kaniletea jike! Sijatumia ndumba Wala nini! Ukizaliwa wa kiume unatakiwa ujiamini.
 
Nijibu na mimi, “Ulimdanganya nini huyo binti mpk akakubebea mimba?” 😜
Wakati ulifika nikataka kuoa kwa sharti awe ni yule nitakayesema "naaaam" nakwambia! Nilikuwa sikauki makusanyiko ya totooz za udsm! Wakati wa jioni kula canteen! Graduation! Mida ya jioni wanatoka kujisomea! Huyu nilimbananisha jioni anaenda hosteli za Magufuli nakaribu na viwanja vya mpira/swimming pool! Kwakweli nilikuwa nimejipanga! Sikuwa mnyonge! Siku hiyo niliambulia! "Mimi sikujui"! Mara ya pili sehemu hile hile nikamwambia "siku ya leo utakuwa unanijua" akasema "yeah!" Nikamwomba namba akanipa ndo hapo "kwishney". Nilifuata taratibu zote na kuozeshwa kihalali kabisa! Sasa hivi tuna furaha kama zoote! 😍😛
 
O
Wakati ulifika nikataka kuoa kwa sharti awe ni yule nitakayesema "naaaam" nakwambia! Nilikuwa sikauki makusanyiko ya totooz za udsm! Wakati wa jioni kula canteen! Graduation! Mida ya jioni wanatoka kujisomea! Huyu nilimbananisha jioni anaenda hosteli za Magufuli nakaribu na viwanja vya mpira/swimming pool! Kwakweli nililuwa nimejipanga! Sikuwa mnyonge! Siku hiyo niliambulia! "Mimi sikujui"! Mara ya pili sehemu hile hile nikamwambia "siku ya leo utakuwa unanijua" akasema "yeah!" Nikamwomba namba akanipa ndo hapo "kwishney". Nilifuata taratibu zote na kuozeshwa kihalali kabisa! Sasa hivi tuna furaha kama zoote! 😍😛
Oya kizuri, kula na mwanao hapa baba usitufanyie hivo wanao
 
Habarini,

Hili swali nimewauliza hasa hasa wadada wa humu watoe their honest opinions, ila hata wanaume wa humu mnaweza kujibu,

Kwenye jamii imezoeleka kuwa wadada wanakua na thamani kwenye macho ya wanaume kuanzia miaka 17, thamani yao inakua kwenye peak kati ya miaka 18-23 (kwenye hiki kipindi wanaume wengi sana wanawatongoza), kuanzia miaka 28 thamani ya mwanamke kwenye soko inashuka taratibu akifikia miaka 30+ idadi ya wanaume wanaomtongoza na wenye nia ya kumuoa inapungua.

Tuje kwenye sexual market value ya mwanaume, kwa mimi binafsi nahisi mwanaume pia soko lake linaanza kuwa kubwa akianza balehe, akifikia miaka 30 na kuendelea, uso wake unaanza zeeka, hivyo chances za kuoa mdada mwenye miaka 22 zinapungua, labda awe vizuri kiuchumi. Ila kama mwanaume ana miaka 35 hawezi kukubaliwa na mdada wa miaka 22 coz mdada ataona huyu mkubwa sana kwangu, umri wote alikua wapi hajaoa, uso wa mwanaume umeanza kuchoka/kuzeeka, hivyo inabidi mwanaume atumie pesa ili amshawishi mdada.

Nafikiri mwanaume ukiwa na miaka 18-25 unaweza kuoa kirahisi hata kama huna pesa, huna hela wala kazi rasmi ila unamchukua mdada unamzalisha, mnaanza kuishi ile life ya sogea tukae huku mnaunga unga maisha, ila ukiwa na miaka 35 halafu bado kiuchumi uko hoi, itakua ni ngumu zaidi kwako kufanya hivyo. The only way mwanaume utaweza oa mdada wa miaka 22, ukiwa na miaka 36 ni mpaka uwe vizuri kiuchumi

Au my sisters wa jf mnasemaje Labella To yeye Missy Gf Evelyn Salt Heaven Sent Donatila financial services Midekoo Numbisa Lamomy NAKWEDE
Mwanaume akiamua kuoa ataoa tu, sio hata mpaka awe na pesa nyingi utayari wake tu wa kuoa na uwezo wa kuhudumia familia. Mwanaume anaweza kuoa kwa umri wowote.
 
Back
Top Bottom