Njoo nkuoe pmMwanaume akiamua kuoa ataoa tu, sio hata mpaka awe na pesa nyingi utayari wake tu wa kuoa na uwezo wa kuhudumia familia. Mwanaume anaweza kuoa kwa umri wowote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nkuoe pmMwanaume akiamua kuoa ataoa tu, sio hata mpaka awe na pesa nyingi utayari wake tu wa kuoa na uwezo wa kuhudumia familia. Mwanaume anaweza kuoa kwa umri wowote.
😂 ila brother swali si kwa wadadaMwanaume hana kikomo, yani ni kama mbowe tu..... Kwahiyo wanaume wote ni mbowe.
Mkuu umri haugandi, je na wewe ukifikisha 45+ unatakiwa usisogelewe na vijana ama kuoleka?Never date mwanaume WA miaka 45 na kuendelea .tena ukute kaachika
Labda mkewe awe alikufa
Au awe na hela kabisaa.ila kama anajitafuta kimbia
Katika wasenge.. na wewe ni msenge..Mwanaume hana kikomo, yani ni kama mbowe tu..... Kwahiyo wanaume wote ni mbowe.
Bora tupatane wote gari mbovu, tutavutana hivohivo😀😀Ha ha ha ha kama nakuona ukiwa na ka mr kasongo ka engine ya v2005
Raha ya gari bovu ivutwe na gari zima.Bora tupatane wote gari mbovu, tutavutana hivohivo😀😀
😀😁😀😜🙂😍😜! Mimi na beibi yangu nimemzidi saana miaka! Siku kajifungua niko nje nasubiri, nesi ananishangaa "ulimdanganya na nini huyu binti" 😁😁
Hahaha,Badilisha na mazingira mkuu..Hata kwa mwanamke japo chance inakua finyu ila kwenye 3rd floor kama ukiwa chini ya 35 bado bahati inakuwepo.Kwa wanaume hamna kikomo, umri wowote unaoa vizuri tu, changamoto ni kwetu wadada najiona kabisa nikizeeka...😀 na ukisema tu uko 3rd floor watu wanakuona kama bibi kabisa
Kwani umemzidi miaka mingapi mkuu?😁😀😜🙂😍😜! Mimi na beibi yangu nimemzidi saana miaka! Siku kajifungua niko nje nasubiri, nesi ananishangaa "ulimdanganya na nini huyu binti" 😁😁
Hamvutiwi na hao wanaume ila mnavutiwa na pesa zao kwakuwa wengi wao wanakuwa washajibataMwanaume Hana expire date
Na actually wadada wengi tunavutiwa na wanaume kuanzia 35 na kuendelea
Halafu pia kikawaida mwanaume anaanza kukua kiakili kwanzia miaka 35 chini ya hapo huyo ni maulana bado
Awe na hela lakini
Halafu watu walivyo waoga, wanasema huyu atakuwa na shida, kwa nini asiolewe siku zote hizoKwa wanaume hamna kikomo, umri wowote unaoa vizuri tu, changamoto ni kwetu wadada najiona kabisa nikizeeka...😀 na ukisema tu uko 3rd floor watu wanakuona kama bibi kabisa
Si kweli, labda uwe na hela ndo utaoa muda wowote!Mwanaume anaoa mda wowote anaojisikia au anaoutaka yeye Kwa wanawake kimbembe kipo hapo utatafuta wa kukuoa umri unaenda uzee huo