Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Evelyn Salt tupia kale ka video
Nafikiri majibu kayapata bila shaka😆
Wanaume wafupiHabari zenu wanawake na warembo wa jamiiforums?
Swali kwenu
" Kwanini hampendi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wafupi"?
Je, shida yao kuu ni nini? nipo kwenye utafiti fulani, naombeni maoni yenu.
Hizo ni swaga tu ka video ka Evelyn Salt kana majibu yoteWanaume wafupi
1. wanawivu sanaaa tena ulopitiliza.
2. Wanahasira sanaa, yeye kutoa ng'eo kwake haoni shida.
3. Hawajiamini Kabsaa, Kila siku atahisi unamsaliti, hasa ukiwa wewe mwanamke mrefu mwanaume mfupi utajuta.
Naongea kwa uzoefu kutoka ndani ya familia.
Ukiwa mwanamke mrefu olewa na mrefu mwenzio.
Mwanamke mfupi kuolewa na mwanaume mrefu Haina shida ila mwanamke mrefu ukiolewa na mwanaume mfupi, jiandae kisaikolojia.
Ila akipambana atagombaniwa kabisa, hadi aseme....👇Nafikiri majibu kayapata bila shaka😆
Eti punguza hasira🤣🤣🤣🤣
Blaza vipi
Poa bro....Blaza vipi
Kwangu haifunguki hiyo video🤔Hizo ni swaga tu ka video ka Evelyn Salt kana majibu yote
Wakyooo😁😁😁😁.
Nafikiri majibu kayapata bila shaka😆
Tafuta kifaa cha mawasiliano cha uhakika , tekno sio simuKwangu haifunguki hiyo video🤔
Jibu hilo mkuuKwamba pesa ndo kila kitu?