Swali kwa wanawake wa JamiiForums?

Swali kwa wanawake wa JamiiForums?

Wana gubu, washari km Thomas Mashali..!!
Sasa usiombe awe katokea chuga, ubishi na ujuaji jamani khaaaa..!! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Wanaume wafupi

1. wanawivu sanaaa tena ulopitiliza.
2. Wanahasira sanaa, yeye kutoa ng'eo kwake haoni shida.
3. Hawajiamini Kabsaa, Kila siku atahisi unamsaliti, hasa ukiwa wewe mwanamke mrefu mwanaume mfupi utajuta.

Naongea kwa uzoefu kutoka ndani ya familia.

Ukiwa mwanamke mrefu olewa na mrefu mwenzio.
Mwanamke mfupi kuolewa na mwanaume mrefu Haina shida ila mwanamke mrefu ukiolewa na mwanaume mfupi, jiandae kisaikolojia.
Wako so Insecure
 
Wana gubu, washari km Thomas Mashali..!!
Sasa usiombe awe katokea chuga, ubishi na ujuaji jamani khaaaa..!! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Duuuh!!!.
 
Back
Top Bottom