Mpaka siku ya kunitongoza ningependa niwe nimeshamfahamu kwa kiasi kikubwa..(anaishi na nani/anafanya kazi au anasoma/ana mke au mpenzi/ana mtoto/anapenda nini n.k) kwahiyo tuwe tumeshakua marafiki kwa muda na pia awe anajua hayo kuhusu mimi...kama anataka kudandia tu bila kunijua nampotezea.
<br />Sasa mpaka wewe ujue hivyo vyote utakuwa umemziba mdomo asikutongoze? au itabidi uendelee kuvijua wakati mchakato wa mtongozo unaendelea
Sasa mpaka wewe ujue hivyo vyote utakuwa umemziba mdomo asikutongoze? au itabidi uendelee kuvijua wakati mchakato wa mtongozo unaendelea
simple,mtu ambaye hakujui undani wako hatongozi, bali ANATAKA. kwa hiyo tatumchukulii serious. yaani unawekwa kwenye microscope hadi basi!
<br />
<br />
si subiri kutongozwa..
Nikiona ananivutia namwongelesha..
(inategemea mazingira pia)
sipendi kuuliza maswali..
Bali tutakaa chini tuongee..
Na katika maongezi unaingiza (elezea)
nnalotaka kujua .... Napenda usawa
akiniuliza swali na mi namgeuzia hilo hilo..
muhimu kuwe na kinywaji(alcohol)....
umejiandaandaaje.
hapo ndio nimepapenda,.....i will buy you a drink......karibu
No thanks..
...
mwe staki yale mabalaa
"nimekununulia sasa ile mipango yetu vipi..........???????"
na wakati ndo tumekutana...
Nta nunua mwenyewe...
...Pongezi kwa kuthubutu kuuliza, experince inaonyesha wengi huwa hawajali kuuliza kwamba anayemtokea yupo ndani ya Relationship or what.Kama nimempenda nataka kuanzisha nae mahusiano nitataka kujua kama ana yupo katika mahusiano au lah (sitoogopa kuuliza lakini).
...dah Kumbe hii ya kumchumguza mtu kabla ya kumkubalia bado ipo!!!, nakumbuka hii ilikuwa zamani , ukimtokea Demu anakwambia nipe muda kwanza nitakujibu baada ya muda flani, then anatumia muda huo kukusoma na kukudadavua wewe ni nani n.k n.k. Siku hizi mostly ukishapata namba ya simu ya Msichana basi kwisha habari. Lizzy hongera if you do investigationMpaka siku ya kunitongoza ningependa niwe nimeshamfahamu kwa kiasi kikubwa..(anaishi na nani/anafanya kazi au anasoma/ana mke au mpenzi/ana mtoto/anapenda nini n.k) kwahiyo tuwe tumeshakua marafiki kwa muda na pia awe anajua hayo kuhusu mimi...kama anataka kudandia tu bila kunijua nampotezea.