Swali kwa Wanawake wa JF

Swali kwa Wanawake wa JF

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
Salamu wanawake Mliomo humu JF!
Nina swali moja kwenu.
Je unapotongozwa na mwanaume mgeni kwako ni vitu gani unapenda kujua kuhusu yeye lakini unaogopa kumuuliza directly
(siku alipokutongoza)? Na huwa unatumia njia gani kujua vitu hivyo?
Hebu tupeni experience dada zetu
 
Kama nimempenda nataka kuanzisha nae mahusiano nitataka kujua kama ana yupo katika mahusiano au lah (sitoogopa kuuliza lakini).
 
Mpaka siku ya kunitongoza ningependa niwe nimeshamfahamu kwa kiasi kikubwa..(anaishi na nani/anafanya kazi au anasoma/ana mke au mpenzi/ana mtoto/anapenda nini n.k) kwahiyo tuwe tumeshakua marafiki kwa muda na pia awe anajua hayo kuhusu mimi...kama anataka kudandia tu bila kunijua nampotezea.
 
Sasa mpaka wewe ujue hivyo vyote utakuwa umemziba mdomo asikutongoze? au itabidi uendelee kuvijua wakati mchakato wa mtongozo unaendelea
 
Utavijua tu automatic maana wanaume kwa kujishaua tena ukikutana na mabrother zetu wale watoto wa iid amin alionyanganywa na nyerere ndo usiseme hata kama mjomba wa jirani wa shemeji yake anakaa ulaya utamjua siku iyo. No formula
 
simple,mtu ambaye hakujui undani wako hatongozi, bali ANATAKA. kwa hiyo tatumchukulii serious. yaani unawekwa kwenye microscope hadi basi!
Sasa mpaka wewe ujue hivyo vyote utakuwa umemziba mdomo asikutongoze? au itabidi uendelee kuvijua wakati mchakato wa mtongozo unaendelea
<br />
<br />
 
Mpeni tuisheni jamani jamaa anataka kuwatokea..... Napita tu wajaameni mimi sio.
 
si subiri kutongozwa..
Nikiona ananivutia namwongelesha..
(inategemea mazingira pia)

sipendi kuuliza maswali..
Bali tutakaa chini tuongee..
na katika maongezi unaingiza (elezea)
nnalotaka kujua .... napenda usawa
akiniuliza swali na mi namgeuzia hilo hilo..

Muhimu kuwe na kinywaji(alcohol)....
 
Sasa mpaka wewe ujue hivyo vyote utakuwa umemziba mdomo asikutongoze? au itabidi uendelee kuvijua wakati mchakato wa mtongozo unaendelea

Ndo maana nimesema tuwe marafiki kwanza na akikurupuka ntamtolea nje kwa sababu hiyo tu.Naheshimu sana watu wasiokurupuka...kwahiyo hata kama simtaki akinitokea wa aina hii ntamkatalia kistaarabu kiasi kwamba tunaweza kuendelea kuw marafiki.
 
simple,mtu ambaye hakujui undani wako hatongozi, bali ANATAKA. kwa hiyo tatumchukulii serious. yaani unawekwa kwenye microscope hadi basi!
<br />
<br />

Under the penalty of perjury, do you believe that, to the best of your knowledge, experience, and belief, that the comments entered above are true, correct, complete, and made in good faith?
 
si subiri kutongozwa..
Nikiona ananivutia namwongelesha..
(inategemea mazingira pia)

sipendi kuuliza maswali..
Bali tutakaa chini tuongee..
Na katika maongezi unaingiza (elezea)
nnalotaka kujua .... Napenda usawa
akiniuliza swali na mi namgeuzia hilo hilo..

muhimu kuwe na kinywaji(alcohol)....

hapo ndio nimepapenda,.....i will buy you a drink......karibu
 
hapo ndio nimepapenda,.....i will buy you a drink......karibu

No thanks..
...

mwe staki yale mabalaa
"nimekununulia sasa ile mipango yetu vipi..........???????"

na wakati ndo tumekutana...

Nta nunua mwenyewe...
 
No thanks..
...

mwe staki yale mabalaa
"nimekununulia sasa ile mipango yetu vipi..........???????"

na wakati ndo tumekutana...

Nta nunua mwenyewe...

usiogope mama_igwe atakuwepo,...si unajua mapenz ya dot.com kila sehemu kuandamana.
 
Kama nimempenda nataka kuanzisha nae mahusiano nitataka kujua kama ana yupo katika mahusiano au lah (sitoogopa kuuliza lakini).
...Pongezi kwa kuthubutu kuuliza, experince inaonyesha wengi huwa hawajali kuuliza kwamba anayemtokea yupo ndani ya Relationship or what.
Business as usual.
 
Mpaka siku ya kunitongoza ningependa niwe nimeshamfahamu kwa kiasi kikubwa..(anaishi na nani/anafanya kazi au anasoma/ana mke au mpenzi/ana mtoto/anapenda nini n.k) kwahiyo tuwe tumeshakua marafiki kwa muda na pia awe anajua hayo kuhusu mimi...kama anataka kudandia tu bila kunijua nampotezea.
...dah Kumbe hii ya kumchumguza mtu kabla ya kumkubalia bado ipo!!!, nakumbuka hii ilikuwa zamani , ukimtokea Demu anakwambia nipe muda kwanza nitakujibu baada ya muda flani, then anatumia muda huo kukusoma na kukudadavua wewe ni nani n.k n.k. Siku hizi mostly ukishapata namba ya simu ya Msichana basi kwisha habari. Lizzy hongera if you do investigation
 
Back
Top Bottom