Swali Kwa wanazuoni Kwa Dini ya Kislam na Waumini wa Dini Hiyo

Sijui kama umesoma hoja yangu vizuri,

Ndio maana nimeuliza Je ni Sawa Adhana kuwa saa Tisa na nusu?

Yan watu wote tuamke kila saa Tisa usiku? Kila siku?

Why isiwe saa 11?

Kuanzia saa Tisa mtu anaongea for 10mn ?
Huna hoja zaidi ya chuki za kidini
 
Huna hoja zaidi ya chuki za kidini


Chuki ya kidini iko wapi hapo ? So ulitakaje tusiulize kujua utaratibu?

Wewe unaona ni Sawa Adhana kuwa saa Tisa na nusu?
 
Sijui kama umesoma hoja yangu vizuri,

Ndio maana nimeuliza Je ni Sawa Adhana kuwa saa Tisa na nusu?

Yan watu wote tuamke kila saa Tisa usiku? Kila siku?

Why isiwe saa 11?

Kuanzia saa Tisa mtu anaongea for 10mn ?

Jamani mbona watu wanalala tu hata hao waislamu wanaoenda kuswali alifajiri ni wachache sana, wengi wanaendelea kulala hata wakisikia adhana.
Mimi hata uweke mziki mkubwa hapo nje usingizi ukija nalala tu

Tuache visa ndugu zangu, mbona makanisa na bar huwa yanakesha usiku kucha hakuna anaye lalamika
 
Kweli kabisa wale ni wa kwenda kuwambia

Haiwezekani tangu saa Tisa na nusu mtu haulali mpaka saa 11

Yan ni full makelele, amkaaaa amkaaa amkaaaa aah too much
That is noise pollution for sure.
 
It is also noise pollution.
 
Chuki ya kidini iko wapi hapo ? So ulitakaje tusiulize kujua utaratibu?

Wewe unaona ni Sawa Adhana kuwa saa Tisa na nusu?
Kisheria inakuwa saa ngapi?na makanisa ya kilokole mtaani kwann wanalia usiku kucha na vyombo vya makelele ya mziki
 
Sawa,ibakie dini inayoruhusu mphilannne
Huu ni wakati wa kusema ukweli makafiri ya kiisiharamu na kikristo yote mpigwe marufuku mnatuletea upumbavu tu wa unafiki...tumechoka unafiki wenu
 
Kisheria inakuwa saa ngapi?na makanisa ya kilokole mtaani kwann wanalia usiku kucha na vyombo vya makelele ya mziki


Ndio maana nimekuja kuuliza,

Before ujacomment soma kwanza heading

Hata hao walokole wanakosea Sana tena Sana,

Uwez kufunga mziki usiku mzima watu hawalali kisa unafanya maombi

Ni Sawa na wale ambao wanafunga spika sehemu za stend za magari then wanahubiri

Wote wanafanya makosa na wachukuliwe hatua

Na wale ambao Wana Adhini saa Tisa na nusu nao waambiwe
 



Wote wanafanya makosa na hakuna sababu ya kufumbia macho just because mwingine anafanya

Ndio maana bar ziliambiwa mwisho saa sita usiku hasa zile bar ambazo zipo karibu na makazi ya watu

Walokole pia wanakosea kufanya maombi usiku mzima Kwa makelele wakati kuna watu wanatakiwa kulala

So wote ni watu wa kuambiwa na wahusika watake action
 
Tuko kwa Mwamposa tutakujibu kesho.
Allah akijaalia inshallah.

Kama na hapo ni full mziki na yeye anakosea

Usiku ni muda wa watu kupumzika, sio kila mtu akeshe kisa Tu mwamposa anakesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…