MAWEED
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 3,550
- 12,239
Kweli rasta,kuna bush-skanki inatoka jamdam nimepokea jana,nipe adress nikufanyie delivery...halafu freeMie na pombe wapi na wapi?
Labda aulizie mmea...ambao huwa navutia ghetto mara zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli rasta,kuna bush-skanki inatoka jamdam nimepokea jana,nipe adress nikufanyie delivery...halafu freeMie na pombe wapi na wapi?
Labda aulizie mmea...ambao huwa navutia ghetto mara zote
Wanatatuta ma baamedi wapya.Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.
sababu huwa ni nini?
Kwani tangu ukiamka unakaa sehemu MOJA kama fenicha?Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.
sababu huwa ni nini?
Kuna wapya basi? Watakuwa wamehamia toka Bar nyingine kongwe na hapo hukutana na wateja wao wa zamani.Wanatatuta ma baamedi wapya.
Walevi kwa kujitetea, mnakuweza.Tunabadili ladha ya pombe, kila bar pombe zake zina ladha tofauti
Faiza 🦊Walevi kwa kujitetea, mnakuweza.