Straight to the topic.
kwa ufahamu na umri nilionao, nimegundua kuwa siku hizi mama zetu wengi wamekuwa wakijifunguakwa operation(upasuaji) tofauti na miaka kumi au zaidi kurudi nyuma.
Nimejaribu kufuatilia nikaona kuwa jambo hili halitokani sana na umri wa mzazi, kimo, unene au wembamba, nyonga zilizotanuka ama la, ni uzazi wa kwanza au zaidi, hapana. Yaani limekuwa likijitokeza randomly. Kama nimechunguza vibaya nielimishwe lakini kama sijakosea sana basi naomba kufahamu kwa faida ya weingi. Nini kinapelekea jambo hili kuongezeka kwa kasi?
Karibuni wataalamu.