Swali kwa wataalamu wa afya na watafiti

Swali kwa wataalamu wa afya na watafiti

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
398
Reaction score
331
Straight to the topic.
kwa ufahamu na umri nilionao, nimegundua kuwa siku hizi mama zetu wengi wamekuwa wakijifunguakwa operation(upasuaji) tofauti na miaka kumi au zaidi kurudi nyuma.
Nimejaribu kufuatilia nikaona kuwa jambo hili halitokani sana na umri wa mzazi, kimo, unene au wembamba, nyonga zilizotanuka ama la, ni uzazi wa kwanza au zaidi, hapana. Yaani limekuwa likijitokeza randomly. Kama nimechunguza vibaya nielimishwe lakini kama sijakosea sana basi naomba kufahamu kwa faida ya weingi. Nini kinapelekea jambo hili kuongezeka kwa kasi?
Karibuni wataalamu.
 
Wachache wanaamini kwa kupasuliwa hawatochakaa kutokana na kuzaa
 
Sababu za jujifungua kwa C section ni nyingi ikiwemo kutotaka kupanua uke. Kwa wenye pesa huamua hivyo

Sababu za kiafya, zamani technology haikuwa imeenea sana. Sikuhizi mama akiwa na matatizo wanawahi C section kuokoa maisha.
 
Wachache wanaamini kwa kupasuliwa hawatochakaa kutokana na kuzaa

Asante mkuu. Ila mimi nililenga zaidi wale waliolazimika kuwanyiwa upasuaji kwa maelekezo ya daktari, siyo wale waliochagua wenyewe kwa kupenda.
 
Sababu za jujifungua kwa C section ni nyingi ikiwemo kutitaka kupanua uke. Kwa wenye pesa huamua hivyo

Sababu za kiafya, zamani technology haikuwa imeenea sana. Sikuhizi mama akiwa na maratizo wanawahi C section kuokoa maisha.
Hujawahi kuniangusha doctor. Asante sana.
Jibu lako liko very straight na ninaliamini kwa asilimia kubwa japo sitotaja asilimia kuruhusu wachanguaji wengine waendelee kuchangia.
 
Hujawahi kuniangusha doctor. Asante sana.
Jibu lako liko very straight na ninaliamini kwa asilimia kubwa japo sitotaja asilimia kuruhusu wachanguaji wengine waendelee kuchangia.
Mimi si daktari mkuu ni Huku Kwamtogole ninapika chapati karibu.
 
Sababu zaweza kuwa zifuatazo
1. Mabadiliko ya mfumo wa maisha (life style)- wanawake wengi hawafanyi mazoezi au kazi ngumu, hii husababisha kushindwa kuwa na uwezo wa kufukua mtoto
2. Ulaji vyakula ambayo huweza kusababisha watoto wawe wakubwa na kushindwa kupita kwenye nyingi
3. Kuongezeka kwa uelewa wa masuala ya afya na haki ya watoto na mama kuishi, kioo kikitokea kizembe mtoa huduma anaweza kushtakiwa au akapata kibao.
4. Kukua kwa teknolojia hasa upande wa afya, siku hizi operation ya uzazi ni salama sana, hivyo daktari na mteja hawana hofu
5. Hofu kwa madaktari na wauguzi kulaumiwa iwapo kifo kikitokea kwa mama au mtoto....tahadhari kabla ya hatari
6. Biashara, chanzo cha kipato au dili, kwa madaktari na wauguzi(Baadhi hasa private practice)
 
Asante mkuu. Ila mimi nililenga zaidi wale waliolazimika kuwanyiwa upasuaji kwa maelekezo ya daktari, siyo wale waliochagua wenyewe kwa kupenda.
ohh waliolazimikaa okay
 
Asante mkuu moto2012 , wewe unafaa kuwa mwalimu.
Asante kwa ku-cover jambo hili kwa upana wake. Najua wengi wamejifunza kupitia mada hii.
 
Sababu za jujifungua kwa C section ni nyingi ikiwemo kutotaka kupanua uke. Kwa wenye pesa huamua hivyo

Sababu za kiafya, zamani technology haikuwa imeenea sana. Sikuhizi mama akiwa na maratizo wanawahi C section kuokoa maisha.
mdada eti hiyo c section mwisho ni mara 3 tuu?
 
Back
Top Bottom