Duh! Umetisha mkuu.Be the first
Wachache wanaamini kwa kupasuliwa hawatochakaa kutokana na kuzaa
Hujawahi kuniangusha doctor. Asante sana.Sababu za jujifungua kwa C section ni nyingi ikiwemo kutitaka kupanua uke. Kwa wenye pesa huamua hivyo
Sababu za kiafya, zamani technology haikuwa imeenea sana. Sikuhizi mama akiwa na maratizo wanawahi C section kuokoa maisha.
Mimi si daktari mkuu ni Huku Kwamtogole ninapika chapati karibu.Hujawahi kuniangusha doctor. Asante sana.
Jibu lako liko very straight na ninaliamini kwa asilimia kubwa japo sitotaja asilimia kuruhusu wachanguaji wengine waendelee kuchangia.
ohh waliolazimikaa okayAsante mkuu. Ila mimi nililenga zaidi wale waliolazimika kuwanyiwa upasuaji kwa maelekezo ya daktari, siyo wale waliochagua wenyewe kwa kupenda.
mdada eti hiyo c section mwisho ni mara 3 tuu?Sababu za jujifungua kwa C section ni nyingi ikiwemo kutotaka kupanua uke. Kwa wenye pesa huamua hivyo
Sababu za kiafya, zamani technology haikuwa imeenea sana. Sikuhizi mama akiwa na maratizo wanawahi C section kuokoa maisha.
Ndiyo inavyoshauriwa lakini kwa uangalizi mzuri wa daktari wengine wanafanya nnemdada eti hiyo c section mwisho ni mara 3 tuu?
bc hiyo c section inaingilia maamuz ya Sir God aseeNdiyo inavyoshauriwa lakini kwa uangalizi mzuri wa daktari wengine wanafanya nne