Swali kwa wataalamu wa Biashara.

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
925
uwekezaji mzuri unatakiwa uwe na faida walau asilimia ngapi kwa mwezi?

Wasalamu!
nadhani swali langu litakuwa limeeleweka.Ningependa kujifunza kupitia kwa watalaam wanao pitia katika jukwaa hili;kwa ufafanuzi tu, ni upi uwekezaji mzuri katika kutoa faida?. mfano; umeanzisha mradi ambao unaghalimu 1,500,000/= je unatakiwa uzalishe walau kiasi gani cha faida kwa mwezi?

Je ukiwekeza kwa mfano 1,500,000/= ukazalisha karibu faida ya 100,000= kwa mwezi inafaa kuwa uwekezaji mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…