Swali kwa wataalamu wa ujenzi

Swali kwa wataalamu wa ujenzi

HAMISI HH

Member
Joined
Jul 1, 2024
Posts
6
Reaction score
1
wadau wa ujenzi msaada kwa waliowahi kutumia mabati ya kampuni ya SUNBANK na SUN SHARE kwenye swala la uimara na ubora wake yapoje?
 
Mkuu wakuu hawakuja kukujbu from 14Nomber, wao ni mu Quote uzi za mapenz tuu


Acha tuvute subra
 
Bati ni ALAF , wakifuatiwa na KIBOKO....!

Hao Wengine bado hatuna uzoefu nao..!
 
Back
Top Bottom