HAMISI HH Member Joined Jul 1, 2024 Posts 6 Reaction score 1 Nov 14, 2024 #1 wadau wa ujenzi msaada kwa waliowahi kutumia mabati ya kampuni ya SUNBANK na SUN SHARE kwenye swala la uimara na ubora wake yapoje?
wadau wa ujenzi msaada kwa waliowahi kutumia mabati ya kampuni ya SUNBANK na SUN SHARE kwenye swala la uimara na ubora wake yapoje?
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,321 Reaction score 7,501 Nov 28, 2024 #2 Mkuu wakuu hawakuja kukujbu from 14Nomber, wao ni mu Quote uzi za mapenz tuu Acha tuvute subra
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Nov 28, 2024 #3 Bati ni ALAF , wakifuatiwa na KIBOKO....! Hao Wengine bado hatuna uzoefu nao..!
K K A B U R U JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 891 Reaction score 1,199 Nov 29, 2024 #4 kinje ketile said: Bati ni ALAF , wakifuatiwa na KIBOKO....! Hao Wengine bado hatuna uzoefu nao..! Click to expand... Swali la msingi limeelekezwa kwa "wataalam" na sio "wazoefu" Jombaa unajua tofauti yake?
kinje ketile said: Bati ni ALAF , wakifuatiwa na KIBOKO....! Hao Wengine bado hatuna uzoefu nao..! Click to expand... Swali la msingi limeelekezwa kwa "wataalam" na sio "wazoefu" Jombaa unajua tofauti yake?