Swali kwa Wataalamu

Kichankuli

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2008
Posts
887
Reaction score
190
Salamu wana JF.

Hivi Chanjo ni dawa au ni kitendo?

Mimi nilikuwa naaelewa kuwa ni kitendo lakini majuzi nimemsikia Waziri wa Afya akisema kuwa Serikali imeagiza Chanjo, nikatatanika.

Nasubiri jibu.

Shukran
 
Salamu wana JF.

Hivi Chanjo ni dawa au ni kitendo?

Mimi nilikuwa naaelewa kuwa ni kitendo lakini majuzi nimemsikia Waziri wa Afya akisema kuwa Serikali imeagiza Chanjo, nikatatanika.

Nasubiri jibu.

Shukran
Dawa ni kama MTU anaumwa anapewa ili iweze kumtibu ugonjwa wake..... Na chanjo hii ni kinga dhidi ya ugonjwa fulani mtu anapatiwa kabla hajapata ugonjwa husika mfano... Polio,bcg, ant rabies( ya kichaa cha Mbwa) hizi ni chanjo... Dawa ni Kama PCM.metro..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…