Swali kwa watetezi wa Sintofaham ya fedha za Simba kutoka M-bet

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Watu wameanza kuwatetea Simba juu ya sintofaham ya mapato ya timu hiyo kama yalivyolipotiwa leo kwenye mkutano mkuu. Sintofaham hiyo inatokana na utofauti wa kiasi cha fedha kutoka kwa M-bet ambapo imeripotiwa Tsh 2.5m tofauti na 4.67 iliyokuwa ipokelewe kutoka kwa mdhamini huyo kwa mwaka wa kwanza.

Baadhi ya watetezi wanasema kuwa kilichoripotiwa (2.5m) ni fedha ya nusu mwaka. Swali ni: je nusu ya 4.67m ni 2.5???

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Simba lunyasi inaendeshwa kisomi Hizo Habari umetoa wapi
 
Kwani kati ya simba na mtoa mada na wote tunaotarajia kwamba timu kama simba ituambie vitu sahihi au vilivyo sawa nani kati yetu hana akili au hajielewi.NI SIMBA AU SISI ?kufikiria kwa umakini na usahihi mambo ya simba na yanga ni uzuzu.JIKONDESHENI
 
Mdau wa soka

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Mwanachama hai wa Simba?Au gongo wazi in disguise.Kwa sababu kwenye maelezo yako umedai wanaitetea Simba kwa hiyo wewe sio mmoja wao!

Hivi mapato na matumizi ya Utopolo unaweza kuyaweka wazi?GSM wameuza jezi ngapi?Klabu imeingiza nini?Oh my mistake siku hizi Utopolo ni kampuni tanzu ya GSM hivyo hakuna mahesabu.

Ukimtoa Hersi viongozi wengine ni akina nani wenye kusimamia maslahi ya klabu?
 
Naona kuna mtu ame like comment yako

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Yaani ujuaji mwingine aibu..Kwani ni oazima iwe exactly 50%ikizidi.kuna kosa gani?
 
Ripoti ni ya mwaka mzima iweje wasome hesabu za nusu mwaka?

Hata Vunjabei mkataba wake unaisha mwaka huu ila wanasema kuwa katoa 700bil, kwa vigezo gani haijulikani
 
Kwa akili yako utaendelea kubaki maskini na utakuwa maskini kwelikweli. Huna unalojua kuhusu masuala ya usimamizi wa fedha kitaalamu.

Nikikuuliza haya katika utoaji taarifa za hesabu za fedha utajibu nini?
Amortization
Cash flow projection
Financial position
Liquidity
Financial Statements na kanuni zinazosimamia uandaaji wa financial statement.

WaTanzania walio wengi ila sio wote ni wajinga na wapumbav wanajifanya kujua kila kitu pasipokujua hawajui. Tumbaf kabisa😤😤

Kwa mfano hili la M Bet
Wewe unajua makubaliano ya mkataba Simba atapokea kiasi gani kwa mwezi? Je unatambua mkataba ulianza lini? Je wanajua hiyo hizo pesa Simba wamepokea hadi mwezi gani? Je, hiyo taarifa inaishia mwezi gani? Maana usije tu ukadhani wameandaa usiku na kesho yake kwenda kusoma. Hiyo taarifa inaandaliwa na wahasibu, inaidhinisha na CEO na kukaguliwa na mkaguzi wa ndani kama yupo. Mwisho ni lazima ipelekwe board wajumbe waipitie na mwenyekiti wa bodi aidhinishe. Zile hesabu za mwisho wa mwaka ni lazima zikaguliwe na wakaguzi wa nje na kuidhinishwa mfano, KPMG nk.

Msiyoyajua bora mkaage kimya kuficha ujinga wenu.

Simba wapo sahihi
 
Mambo yanayo fanywa na Viongozi wa Simba huitaji elimu ya darasani kujua ni upuuzi.
Kitendo Cha basi kubwa la wachezaji ambalo Msemaji wa timu alisema lipo Gereji na Mangungu kusema Limeuzwa au kuonekana Manzoki kwenye Mkutano mkuu wa Simba kunakupa Picha halisi namna mambo yanayo fanyika.

Swala la mkataba wa M- Bet kuwa 2.5 b Kwa mwaka tulisha liandika apa jukwaani na ndio ukweli ulivyo.
Inawezekana ukweli uka kuudhi ila uo ndio ukweli halisi usio na chenga.
Kwakua nyie mbumbumbu fc starehe yenu ni kuongopewa sisi tutaendelea kuwaambia ukweli japo mna umia.

Yaani hili nikama Ile 20b iliyochorwa kwenye T shirt ya uwekezaji wa Mudi Kwa madai Ipo kwenye Account ya Siri.
 
Ripoti ni ya mwaka mzima iweje wasome hesabu za nusu mwaka?

Hata Vunjabei mkataba wake unaisha mwaka huu ila wanasema kuwa katoa 700bil, kwa vigezo gani haijulikani
700 bil mkiambiwa hamna akili ila wawili tu mnakuja juu.Huyu hapa mwingine.Hajui hata hesabu za darasa la nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…