Watu wameanza kuwatetea Simba juu ya sintofaham ya mapato ya timu hiyo kama yalivyolipotiwa leo kwenye mkutano mkuu. Sintofaham hiyo inatokana na utofauti wa kiasi cha fedha kutoka kwa M-bet ambapo imeripotiwa Tsh 2.5m tofauti na 4.67 iliyokuwa ipokelewe kutoka kwa mdhamini huyo kwa mwaka wa kwanza.
Baadhi ya watetezi wanasema kuwa kilichoripotiwa (2.5m) ni fedha ya nusu mwaka. Swali ni: je nusu ya 4.67m ni 2.5???
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Baadhi ya watetezi wanasema kuwa kilichoripotiwa (2.5m) ni fedha ya nusu mwaka. Swali ni: je nusu ya 4.67m ni 2.5???
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app