Mtoto wa Samia, Abdul - Halim Hafidh Ameir ameandikwa ni National delegate.
Swali la kujiuliza huyu mtu ni National delegate kutoka taasisi ipi?
Hii ni serious state capture.
Hatari sn
RIP LWAMBO LWANZO MAKIANDI "FRANCO" ULITUASA HAYA WAKATI WA UHAI WAKO.Nchi hii kama watu wamerogwa.
Kweli "muongo na mlozi ni watu wa kuchoma".
Jitahidi uwe juu nawe uzilePesa zetu masikini zinachezewa kijinga haswa
Mwisho wa mwaka huu, ni muda wa watu kutoana out baada ya kazi ngumu ya kutafuta pesa na visirani vya kukwaruzana na mabosi.View attachment 2835179
Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo,
Waziri wa Mazingira,
Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023.
Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka serikali ibane matumizi.
Tanzania imewakilishwa na watu 764. Watu wapatao 391 kati yao ni watumishi wa umma. Watu baki wametoka sekta binafsi.
Jedwali lifuatalo hapa chini linaonyesha mchanganuo wa wajumbe wa Tanzania. Na faili kamili la MS Excel limeambatanishwa hapa chini kwa ufafanuzi zaidi.
View attachment 2835194
Kwa wale wanaotaka ulinganisho mpana, pia tumeambatanisha Jedwali kamili ya wajumbe wote duniani waliohudhuria COP28.
Kwa mujibu wa Jedwali hili, Kidunia nchi zenye wajumbe wengi ni UAE (4,409), Brazil (3,081), China (1,411), Nigeria (1,411), Indonesia (1,229), Japan (1,067) na Turkey (1,045).
Na kwa upande mwingine, kidunia nchi zenye wajumbe wachache ni North Korea (2), Nicaragua (6), Eritrea (7), Liechtenstein (8) na Moldova (8).
Katika Bara la Afrika, nchi ya kwanza kwa wajumbe wengi ni Nigeria(1411), Ya pili ni Morocco (823), Ya tatu ni Kenya (765), Ya nne ni Tanzania (764), Ya tano ni Ghana (618), ya sita ni Uganda (606). Zingine ni DR Congo (590), Rwanda (223), Burundi (172), na South Sudan (158).
Tunaelewa kwamba kila Taifa linayo Kamati yake ya kupima, Kuripoti na kuthibitisha taarifa juu ya mabadiliko ya tabianchi.
Yaani, "National Measurement, Reporting, and Verification Framework" au "National MRV Framework" kwa kifupi.
View attachment 2835261
Kamati hii ya MRV katika ngazi ya kitaifa ndiyo huripoti kwenye mkutano wa COP28. Ukubwa wa timu ya wawakilishi wake unategemea nguvu za kiuchumi za nchi husika.
Swali ni kwamba, Kamati ya MRV ya Tanzania inao wajumbe 330, ambayo ni idadi sawa na Bunge zima la Tanzania? Watanzania wengi wanauliza swali hili, na ni muhimu kwa serikali kulijibu.
Vinginevyo mikutano ya COP sasa itaonekana kama ziara binafsi za kuwapa wajumbe "exposure" ya kimataifa kwa kutumia fedha za umma pasipo ajenda yoyote ya maana kwa Taifa.
Tusisahau yale ya Mkutano wa Rio de Janeiro mwaka 1992 ambapo ziara ya Tanzania ilihusisha watoto wa shule, akiwemo mwanafunzi mmoja aliyejulikana kama Bi Mkubwa Rajab, binti yake Mzee Kitwana Kondo.
Binti huyu alimletea shida Rais Mwinyi wakati ule. Vijiweni Dar es Salaam kulizuka kejeli kuwa Rais Mwinyi alikweda kwa Mzee Kitwana Kondo kuchumbia akitumia maneno haya: "Bi Mkubwa anifaa sana, maana anayo miaka yoye ya CCM na mitano juu."
Uvumi ulizagaa. Ilifika hatua mpaka Rais akaitisha mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja kukanusha uvumi.
Taarifa zinasema kuwa, siku hiyo Rais Mwinyi aliwauliza mabinti wa shhule ya Jangwani, "Eti Mie Nimemwoa mwenzenu?"
Tunayoyasema kuhusu Tanzania yanazihusu nchi zingine pia. Mikutano ya COP haipaswi kuwa sababu ya kufuja fedha za umma pasipo ajenda ya umma inayoeleweka.
Taarifa hizi zimechakatwa na:
Mama Amon
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
SLP P/Bag
"Sumbawanga Town"
Sumbawanga
Maadili hayaruhusuJitahidi uwe juu nawe uzile
Hebu tupige hesabu kidogo:Per diem za kutosha[emoji4]
Sahivi ndiyo ana-connection zote za maza ajili ya kupiga pesa za umma za wajinga wabara
Watu wamebeba hadi vimada wao!Hapo president office hujaona mkuu....acheni watumishi nao wale mema ya nchi ingawaje sijaona hapo wizara ya elimu ikimaanisha kwamba walimu wamewekwa kando kwenye huu ulaji.
Dill zote za nchi lazima umuone Abdul lakini uwe muislamuView attachment 2835592
Miezi michache iliyopita alienda Uganda na kuonana na Museveni kwenye delegation ya serikali kujadili masuala ya nishati ila hatuambiwi kwenye hiyo delegation alienda kama nani.
Hao ni watu wa "State Capture." Ikumbukwe kuwa Climate Change is a falsified agenda ya NWO,kwa hiyo agents wa NWO lazima wahudhurie kwa wingi ili ionekane kwamba inaungwa mkono.View attachment 2835179
Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo,
Waziri wa Mazingira,
Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023.
Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka serikali ibane matumizi.
Tanzania imewakilishwa na watu 764. Watu wapatao 391 kati yao ni watumishi wa umma. Watu baki wametoka sekta binafsi.
Jedwali lifuatalo hapa chini linaonyesha mchanganuo wa wajumbe wa Tanzania. Na faili kamili la MS Excel limeambatanishwa hapa chini kwa ufafanuzi zaidi.
View attachment 2835194
Kwa wale wanaotaka ulinganisho mpana, pia tumeambatanisha Jedwali kamili ya wajumbe wote duniani waliohudhuria COP28.
Kwa mujibu wa Jedwali hili, Kidunia nchi zenye wajumbe wengi ni UAE (4,409), Brazil (3,081), China (1,411), Nigeria (1,411), Indonesia (1,229), Japan (1,067) na Turkey (1,045).
Na kwa upande mwingine, kidunia nchi zenye wajumbe wachache ni North Korea (2), Nicaragua (6), Eritrea (7), Liechtenstein (8) na Moldova (8).
Katika Bara la Afrika, nchi ya kwanza kwa wajumbe wengi ni Nigeria(1411), Ya pili ni Morocco (823), Ya tatu ni Kenya (765), Ya nne ni Tanzania (764), Ya tano ni Ghana (618), ya sita ni Uganda (606). Zingine ni DR Congo (590), Rwanda (223), Burundi (172), na South Sudan (158).
Tunaelewa kwamba kila Taifa linayo Kamati yake ya kupima, Kuripoti na kuthibitisha taarifa juu ya mabadiliko ya tabianchi.
Yaani, "National Measurement, Reporting, and Verification Framework" au "National MRV Framework" kwa kifupi.
View attachment 2835261
Kamati hii ya MRV katika ngazi ya kitaifa ndiyo huripoti kwenye mkutano wa COP28. Ukubwa wa timu ya wawakilishi wake unategemea nguvu za kiuchumi za nchi husika.
Swali ni kwamba, Kamati ya MRV ya Tanzania inao wajumbe 330, ambayo ni idadi sawa na Bunge zima la Tanzania? Watanzania wengi wanauliza swali hili, na ni muhimu kwa serikali kulijibu.
Vinginevyo mikutano ya COP sasa itaonekana kama ziara binafsi za kuwapa wajumbe "exposure" ya kimataifa kwa kutumia fedha za umma pasipo ajenda yoyote ya maana kwa Taifa.
Tusisahau yale ya Mkutano wa Rio de Janeiro mwaka 1992 ambapo ziara ya Tanzania ilihusisha watoto wa shule, akiwemo mwanafunzi mmoja aliyejulikana kama Bi Mkubwa Rajab, binti yake Mzee Kitwana Kondo.
Binti huyu alimletea shida Rais Mwinyi wakati ule. Vijiweni Dar es Salaam kulizuka kejeli kuwa Rais Mwinyi alikweda kwa Mzee Kitwana Kondo kuchumbia akitumia maneno haya: "Bi Mkubwa anifaa sana, maana anayo miaka yoye ya CCM na mitano juu."
Uvumi ulizagaa. Ilifika hatua mpaka Rais akaitisha mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja kukanusha uvumi.
Taarifa zinasema kuwa, siku hiyo Rais Mwinyi aliwauliza mabinti wa shhule ya Jangwani, "Eti Mie Nimemwoa mwenzenu?"
Tunayoyasema kuhusu Tanzania yanazihusu nchi zingine pia. Mikutano ya COP haipaswi kuwa sababu ya kufuja fedha za umma pasipo ajenda ya umma inayoeleweka.
Taarifa hizi zimechakatwa na:
Mama Amon
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
SLP P/Bag
"Sumbawanga Town"
Sumbawanga
Ccm ni ile ile oh ni ile ileWanafanya hayo huku barabara Jiji la Dar tu ni mahandaki kila kona.
Nenda hospital yaani facilities ni chakavu mpaka inatia huruma.
Ipo haja wahusika wajiuzulu nafasi zao.
Haya ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Shame on us!Mtoto wa Samia, Abdul - Halim Hafidh Ameir ameandikwa ni National delegate.
Swali la kujiuliza huyu mtu ni National delegate kutoka taasisi ipi?
Hii ni serious state capture.
Wakati ule hutoki bila ruhusa ya yule jamaa. Hapo wangekwenda wat si zaidi ya kumi.Huyu Mama Abdul hamna kitu, upigaji umeongezeka mara dufu bora hata wakati wa dikteta.
Hao ni watu wa "State Capture." Ikumbukwe kuwa Climate Change is a falsified agenda ya NWO,kwa hiyo agents wa NWO lazima wahudhurie kwa wingi ili ionekane kwamba inaungwa mkono.