Swali kwa Waziri wa Mazingira, Dkt Suleiman Jaffo: Watumishi wa umma 333 wamefuata nini kwenye mkutano wa COP28 huko Dubai?

Usingekuwa sahihi zaidi mkuu.Halafu nimecheka sana utafikiri mazuri,"you will own nothing and happy!" Unajua kwa nini people will own nothing and yet happy,because they will be Zombies.Hawa watu wabaya sana.
 
Ukisikia maana ya kutembeza Bakuli ndio hiyo,hao Maafisa wote wameenda kwa ajili ya kutafuta Wafadhili wa miradi yenu la sivyo mnaweza kula nyasi pumbavu zenu
 
Tena kwa taarifa yako hapo walipunguzwa sana baada ya pesa kukosa,ungeona list ya awali labda ungezimia.
Na ukumbuke kuna watu walitangulia mwezi moja kabla.
 
Shamba la Bibi hili, acha wahuni wale kwa urefu wa kamba zao.
 
Mkiambiwa tafuteni teknolojia mtumie rasilimali mlizonazo kukuza chumi zenu,mumekaa kusifia Chadema na CCM.
Acha watu watafune vyao
 
Mama amon we ungewekwa kwenye trip ungeenda au ungegoma [emoji1]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…