the event
Member
- Nov 7, 2013
- 83
- 20
juzi nilikuwepo kwenye uzinduzi wa ile movie yako ila sikuamini nlichokiona Wallah mtoto umbo namba nane limekaa likakalika kweli na huo mtrako nyuma ndo kabisa uliniua nguvu zotee za kiume.. ila nna mashaka kama hii shepu ni yako kweli, ukipata nafasi ya kupitia uzi huu tafadhali nijibu kama huo mzigo ni OG ama laa..mwenzio me ndo ugonjwa wangu huo..doh