Swali kwa Wema Sepetu; Hii shepu ni ya kwako kweli au umejaladia?

Swali kwa Wema Sepetu; Hii shepu ni ya kwako kweli au umejaladia?

the event

Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
83
Reaction score
20
juzi nilikuwepo kwenye uzinduzi wa ile movie yako ila sikuamini nlichokiona Wallah mtoto umbo namba nane limekaa likakalika kweli na huo mtrako nyuma ndo kabisa uliniua nguvu zotee za kiume.. ila nna mashaka kama hii shepu ni yako kweli, ukipata nafasi ya kupitia uzi huu tafadhali nijibu kama huo mzigo ni OG ama laa..mwenzio me ndo ugonjwa wangu huo..doh

Huyo ni msanifu wa mwili....
 
Ni mchina kwenda mbele sababu;
1. Angekua na mwili Original angekuwa anavaa vimini pia na nguo za kulingishia zaidi mwili wake,
2. Angalia hii picha chini, toka lini tacko linaanzia karibu na nyuma ya goti?? Tacko original linaanzia kwenye glutes!
image.jpeg

Angalia tacko origina hili hapa chini, tacko halijaanzia nyuma ya goti, lineanzia juu kabisa ya paja la nyuma.
image.jpeg
 
Ni mchina kwenda mbele sababu;
1. Angekua na mwili Original angekuwa anavaa vimini pia na nguo za kulingishia zaidi mwili wake,
2. Angalia hii picha chini, toka lini tacko linaanzia karibu na nyuma ya goti?? Tacko original linaanzia kwenye glutes!
View attachment 578523
Shida yote ya nini kutafuta tako kwa sponji? Akachome sindano ya kukuzia
 
Nimemscan kwa kutumia mashine moja matata yenye resolution ya viwango vya kimataifa na kugundua kuwa huo msambwanda haujajaladiwa, ni kitu natural!
Mambo ya misosi na gym tu...
 
Well hilo umbo kama ni lake au si la kwake ni yeye ndie anaejua siri yote..
Ila hoja yangu mi ni moja tu, huwezi kuwa umbile la namna ile ukawa na AKILI.

Kwanza siku nyingine lipo flat, siku nyingine limetuna upande mmoja, siku nyingine limefutuka sana..!! Yani kila siku ni adjustments..!!

Huwezi kuwa na AKILI hata siku moja kwa umbo lile kwasababu AKILI yako itawaza tu hicho ulicho nacho huko nyuma.
 
tatizo mkwanja naskia hyo sindano bei yake mchezo
Mkuu huyu wema amewahi kusema kuna gauni alilinunua dola elfu nne kama sijakosea sasa hiyo sindano atashindwa kugharamia?
 
Well hilo umbo kama ni lake au si la kwake ni yeye ndie anaejua siri yote..
Ila hoja yangu mi ni moja tu, huwezi kuwa umbile la namna ile ukawa na AKILI.

Kwanza siku nyingine lipo flat, siku nyingine limetuna upande mmoja, siku nyingine limefutuka sana..!! Yani kila siku ni adjustments..!!

Huwezi kuwa na AKILI hata siku moja kwa umbo lile kwasababu AKILI yako itawaza tu hicho ulicho nacho huko nyuma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom