I Bigbrother !! [emoji351] [emoji351] ,Tuwaulize waliopita...
Shida yote ya nini kutafuta tako kwa sponji? Akachome sindano ya kukuziaNi mchina kwenda mbele sababu;
1. Angekua na mwili Original angekuwa anavaa vimini pia na nguo za kulingishia zaidi mwili wake,
2. Angalia hii picha chini, toka lini tacko linaanzia karibu na nyuma ya goti?? Tacko original linaanzia kwenye glutes!
View attachment 578523
Mkuu huyu wema amewahi kusema kuna gauni alilinunua dola elfu nne kama sijakosea sasa hiyo sindano atashindwa kugharamia?tatizo mkwanja naskia hyo sindano bei yake mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Well hilo umbo kama ni lake au si la kwake ni yeye ndie anaejua siri yote..
Ila hoja yangu mi ni moja tu, huwezi kuwa umbile la namna ile ukawa na AKILI.
Kwanza siku nyingine lipo flat, siku nyingine limetuna upande mmoja, siku nyingine limefutuka sana..!! Yani kila siku ni adjustments..!!
Huwezi kuwa na AKILI hata siku moja kwa umbo lile kwasababu AKILI yako itawaza tu hicho ulicho nacho huko nyuma.