Hivi ukimuona mwanaume ambae sio ndugu wa mkeo ameunga urafiki mpaka wanasaidiana wew unafikiriaje kichwani mwako,,,,binafsi siwezi ruhusu huo ujinga yaani kati ya marafiki wote achague wakiume??siku mkikosana ataenda kumusimulia alafu jamaa anaanza kumfariji mwisho anapigwa mbususu