mashuka collection
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 608
- 1,409
Urafiki na mume au mke wa mtu si sawa unapaswa kudraw line kwenye huo urafiki.Hebu sema ukweli wako?
Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na urafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanae kwenye mahusiano ya kimapenzi?
#nyumayapazia