Swali kwa wote

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date

Aksante Keil kwa swali lako. Ndio maana nikasema si kwamba tunawanyima kwa kupenda kwani kama alivyosema SMU wote tunafaidi katika hilo. Hivyo basi kwa mimi naamini ni kitu cha muda tu .... hasa kama umekosewa na mtu hajaomba msamaha au hamjayazungumza. Ninakubali kabisa kuwa Clementina alivuka mpaka -- that was just too much kiasi kwamba niliguna wakati nasoma kipande kile. Kushindwa kukutimizia haja ile kwa siku mbili au tatu kwangu is reasonable kabisa na kama hakuna suluhisho kwa maana ya kuzungumza juu ya lolote linalozichafua hisia zangu kwa kweli hakuna game. Unless we sit down and clear the way.

Bila hivyo ntalala kama gogo kweli tena.
 


JS sidhani kama kuna Wanaume ambao huwaadhibu wake/wapenzi wao kwa kuwanyima tendo la ndoa, lakini sina uhakika na hili. Kama wapo basi hao ni lazima wawe na nyumba ya kupumzikia ama wameshaamua kwamba ndoa/uhusiano wao na mhusika umefikia tamati. Kwa maoni yangu Mwanaume anaweza kabisa kuivunja ndoa kama ananyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi tu. Halafu unapomnyima mumeo/Boyfriend unyumba kwa miezi yote hiyo unadhani kweli haiendi nje kushughulika na wale ambao watakuwa tayari kumtimizia tendo hilo bila ya hiyana?
 
Kuna nini humu ndani?
...Msinyimane,peaneni.............
Kunyimana sio suluhisho la matatizo bali zidisho la matatizo.Zipo nia nyingi za kutatua matatizo na sio kunyimana.
 
Ni kweli kabisa SMU haileti maana ila ninavyojua mie ni kuwa huwa hatuwanyimi kama silaha bali ile hali yetu ya kutojisikia kukupa kwa kuwa feelings zangu hazipo huwa mnaichukulia kama tunawanyima kusudi.

Naweza kuelewa kama kutojisikia huku ni kwa siku kadhaa...lakini inapokuwa wiki kadhaa au miezi hujisikii 'kufanya' na mumeo hapo kuna mawili, either unatumia unyumba kama silaha (i.e. unajisikia kufanya nae lakini hufanyi ili kumkomoa!) au hiyo ndoa kwako imekosa maana tena kimsingi haipo tena (kama huvutiwi nae tena, ndoa ya nini tena? unajitesa tu bure!).


Pole kwa huu mkasa! Hiyo ndoa bado ipo?


Nakuelewa. Kuna nyakati wewe hujisikii lakini yeye anajisikia na kuna wakati mwingine yeye hajisikii na wewe unajisikia. Sasa inaweza kuwa ngumu wakati mwingine kukuta wote mnajisikia na kila mmoja akiwa mbinafsi kwamba mpaka yeye ajisikie ndio mnafanya hiyo ndoa inaanza kupata nyufa. So inapokuja suala la ndoa lazima sometimes mwanandoa unafanya 'compromise' (kujitoa!) ili ndoa iendelee kudumu. Lakini ikifika mahali mara zote wewe hujisikii ...kama nilivyotangulia kusema...ndoa inakuwa imepoteza maana.
 

ningemchukua shambaBOy kimyakimya kwenda kumpima mdudu; alafu kwa majibu yoyote nachuna kiana nikimsikilizia tu
 

hapa ndio wadada mnachemsha! kila kitu mnataka kujilinganisha na wanaume, mnasahau kwamba mwanaume na mwanamke ni tofauti in everi wei, kimaumbile,kihisia,kimila e.t.c nakadhalika. hata baioloji inasibitisha kwamba homoni za mwanamke na mwanaume ni tafauti, not to mensheni "ZE MILA NA TAMADUNI".

Mjadala na uendelee.
 
ai wishi mke wangu angekuwa na akili kama zako......NINGEHAMIA TABATA-MAWENZI kwa nyumba ndogo yangu mtoto SALIMA....DAH!

mke wangu nikipiga infidelity ye ndo anaongeza manjonjo kwenye chakula cha usiku!
Chunguza mjomba, UTABAINI!..
Wanawake siyo wajinga kivile.
 
Hii adhabu..siyo adhabu tu.NI STATEMENT NZITO SANA KATIKA MAHUSIANO.
Unajua mwanaume anaumia sana kujua hakubaliki kama malaria...na kwa vile sababu ya ndoa kuwepo ni unyumba pamoja na mengine..basi hili humsumbua sana.Ukihamia nyumba ndogo au kujivinjari na tx wa nyumbani a.k.a housegal ujue kuna akina mjamaika wanakaimu nafasi hiyo tena vizuri mno.Hapo ujue huna chako tena! Na usiombe mamsapu wako akutane na fundi wa kuimbisha utajuuuta kwanini ulimboa. Vitu anavyofanya naye walahi wewe wala hujui kama mkeo anavijua... maneno wanayopeana..hutakaa ata ufikirie mkeo anayajua licha ya kuweza kuyatamka......... kupenda atakakopendwa mjamaika.. wewe hutakaa na wala usiote kupendwa hivo.WALE WENYE KUJIDAI ATI WATAFUGA NYUMBA NDOGO TENA MSICHEKESHE MHADHARA... ukifuga nyumba ndogo tena ujue huyo Tina wako ndicho anachoombea umuondolee kero na gubu lako!
 
Originally Posted by Mom
Ikatokea siku moja bila sababu ya maana (nilikujagundua kuwa alimfumania nyumba ndogo yake siku hiyo) akanyanyua mkono wake na kunidunda --- ilikuwa kipigo kitakatifu kilichoniacha hoi nikiwa hoi sakafuni) ----- Halafu kwa siku mbili nzima hakusema kitu wala kuuliza uhali gani wala cha samahani. Ikawa akiamka asubuhi anaoga na kutimka humwoni hadi saa tisa nane usiku. Siku ya tatu usiku huo wa manane anakugeuza na kutaka kuchomeka. Mbona niligeuka Jack Chan sijui-

SMU is this by mom? sijajua umequote wapi lakini katika mambo ambayo kwangu ndo mwisho wa ndoa, ni kupigwa na mpenzi wangu! kwa hilo najua hata Mungu atanitetea ndoa hiyo si yangu
 
mara nyingi kutojisikia huku hutokana na maudhi mengi kama hayo ya clementina kufumania tena kwa jinsi alivyomuamini mumewe ingekua mm hata hamu ya tendo ingepotea
 
Kuna nini humu ndani?
...Msinyimane,peaneni.............
Kunyimana sio suluhisho la matatizo bali zidisho la matatizo.Zipo nia nyingi za kutatua matatizo na sio kunyimana.

u r very wise my sister!
 

NY, one week is acceptable, but anything more than a week is uncivilised....especially kama mkosaji ameshakuomba samahani kwa aliyokukosea.
 

Pole Mom nadhani teknohama ilichanganya mambo hiyo posy niliipost mimi MwanajamiiOne.

Dada hata mie I used to say that .....bahati mbaya nilijikuta nashindwa na kuruhusu hilo tendo kufanyika mara kadhaa kabla ya kuchukua hatua.
 

MJ1, mhhhhh! hapo kwenye nyekundu, I reserve my comments.Pole sana kwa yaliyokukuta. Mianaume inayopiga wake/magf wao katika miaka hii ndivyo ilivyo! :angry: Hawajui kabisa kutatua matatizo yao katika ndoa au mahusiano yao kwa kuongea tu kistaarabu na ili kuweka kla kitu shwari. Shurti mkong'oto wa nguvu utembezwe ndiyo roho zao zinaridhika.

Wanaume kama hawa labda wataka wake zao au magf wao wawaogope kupita kiasi na kuishi katika woga wa hali ya juu. Akiingia ndani ya nyumba mke/gf anakosa amani kabisa ndani ya roho anajua akikosea kidogo tu basi cha moto atakiona.
 
Am I missing something here? Mnasema kumnyima mumeo...ok..let me get this straight....kwani kwenye kutiana anayefaidi ni mmoja tu hadi iwe adhabu mmoja wenu akikataa? Sasa unapomkatalia mtu unakuwa unamkomoa nani? Au wewe unayekataa hupatwi na nyege? Au husikii utamu ukiwa unamegwa? WTF? I don't get this....
 
Pole Mom nadhani teknohama ilichanganya mambo hiyo posy niliipost mimi MwanajamiiOne.

Dada hata mie I used to say that .....bahati mbaya nilijikuta nashindwa na kuruhusu hilo tendo kufanyika mara kadhaa kabla ya kuchukua hatua.

lakini ulishachukua hatua baadae lakini? hakuna kitu nakiogopa kama hicho luckly haijatokea na namuomba Mungu isitokee
 
MJ1, mhhhhh! hapo kwenye nyekundu, I reserve my comments.
BAK unafikiri uwongo?? Kweli tena sometimes mnatubaka asa fikiri mtu anarudi na mipombe yake huko analazimishia na mara nyingi akiwa tayari na therengethi hata muda wa "mazungumzo mwili" hautoshagi unakuwa mfupi so anaingia ndani kabla mlango haujafunguka vizuri. Halafu ...............ah unajikalia tu ukiomba amalize upesi atoke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…