Swali kwako mdau...

Swali kwako mdau...

Joined
Jul 27, 2021
Posts
31
Reaction score
29
Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna?

Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta?

Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress?

Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachotamani kuwa nacho?

Tiririka mdau
 
Amani na utulivu wa nafsi yangu,nikaongea na Mungu kila muda niomkumbuka
 
Back
Top Bottom