Platnum member
Member
- Jul 27, 2021
- 31
- 29
Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna?
Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta?
Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress?
Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachotamani kuwa nacho?
Tiririka mdau