P Platnum member Member Joined Jul 27, 2021 Posts 31 Reaction score 29 Jul 28, 2021 #1 Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachotamani kuwa nacho? Tiririka mdau
Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachotamani kuwa nacho? Tiririka mdau
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Jul 28, 2021 #2 Ni pesa hiyo hiyo mkuu
P Platnum member Member Joined Jul 27, 2021 Posts 31 Reaction score 29 Jul 28, 2021 Thread starter #3 Licking Wounds said: Ni pesa hiyo hiyo mkuu Click to expand... Ukiachana na pesa
benruby JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 404 Reaction score 588 Jul 29, 2021 #4 Platnum member said: Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachotamani kuwa nacho? Tiririka mdau Click to expand... Amani na utulivu wa nafsi yangu,nikaongea na Mungu kila muda niomkumbuka
Platnum member said: Je, ukiachana na pesa ni kitu gani kingine huna? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachokitafuta? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine kinachokupa stress? Ukiachana na pesa ni kitu gani kingine unachotamani kuwa nacho? Tiririka mdau Click to expand... Amani na utulivu wa nafsi yangu,nikaongea na Mungu kila muda niomkumbuka
Trick mirik JF-Expert Member Joined May 5, 2019 Posts 555 Reaction score 1,290 Jul 29, 2021 #5 Mimi natamani kuwa na hekima