CHE Raptino
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 1,027
- 1,068
kwan yule ni wa dar?? si wa mkoani yule mkolomijeKama mkuu wa mkoa wao anatuhuma za yale mambo sembuse hao raia anao waongoza
Ukiwa na akili mgando km mwanaume uneshindia chipsi huwez jua donats imekua derived from the biggest philosopher of ItalyYani mtu anajiita youngdonats
Donats si chakula?...sasa huku dar mtu akisgaitwa chakula ni maana mbaya sn
Donat huku kwetu ni chakula tu...hamna great thinker akajiita youngdonats lazima atakuwa chakula nayeyeUkiwa na akili mgando km mwanaume uneshindia chipsi huwez jua donats imekua derived from the biggest philosopher of Italy
Tukutane jukwaa la magreat thinkers ila kwa humu tuyamalize ya hawa ndugu zetu
Ila utakua umewah kuishi dar mana hiyo poul huwa ni Paul hizo za A kua O ndo wale wa jomon badala ya jaman[emoji33] [emoji33]chuga au A-town
[emoji50] [emoji87]Kama mkuu wa mkoa wao anatuhuma za yale mambo sembuse hao raia anao waongoza
Ila utakua umewah kuishi dar mana hiyo poul huwa ni Paul hizo za A kua O ndo wale wa jomon badala ya jaman[emoji33] [emoji33]
We Adam ama Hawa!Mtukome
Kwahiyo nawewe una sifa kama za donat una tundu kubwa pale kati?!Ila utakua umewah kuishi dar mana hiyo poul huwa ni Paul hizo za A kua O ndo wale wa jomon badala ya jaman[emoji33] [emoji33]
HahahahahahahahaHalafu wanaume wote wanaotafuta wapenz humu JF na mashaka nao watakua wa dar mana chipsi zimewatia uvivu wa kutongoza,
Learn to differentiate btn the two terms donat and donut,stop embarrasing yourself by embaracing the foolish things.Kwahiyo nawewe una sifa kama za donat una tundu kubwa pale kati?!
Youngdonats delicious
Dar is just my academic field living for transient moment then I quit , I have never been affected by such kind of life
Angalieni profile yake muone location.Nlipata mashaka huyu atakuwa chakula kaamua kujitangaza kwa njia nyingine