SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Wanaume wa Dar wana tabia zao za ajabu ambazo hazivumiliki kirahisi ila kwa suala la kitandani kwa kweli wanajitahidi sio kama mnavyowasema humu.
Na kingine wanaume wa Dar wako smart sana. Unaweza ukakutana na dalali kavaa utasema banker.
Na wanajitahidi sana kuhudumia jamani. Dar wanawake hatulali njaa kizembe zembe. Mwanaume akikutoa anajua unatakiwa hela ya usafiri. Kikubwa ninachowapendea wanajitahidi kutupa dada zenu wa mikoani pesa.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Tabia zipi hizo zisizovumilika kirahisi?na ambazo ni za ajabu?fafanua dada
Sio kuchunwa wanajua wajibu wao.
 
Wanaume wa dar wanatumia mikorogo ya wake zao.
Hii imenikumbusha jamaa mmoja tulikutana sehemu kwa ajili ya kuengeza ujuzi,baada ya miezi minne class ikabidi tupate wiki mbili porini dah, yaani jamaa kabidilika rangi kawa kama mkaa weupe umepotea.
 
Sahihisho hao sio wanaume ni wavulana ndio wenye shida hizo mwanaume anajitambua na ana majukumu.
 
Nasikia sikia tu haya maneno siku hizi...kwani wanaume wa Dar wana nini? Kwani tofauti yao na wa mikoani ni nini?
Hebu tiririsha sifa za wanaume wa dar uzijuazo...![emoji652] [emoji652] [emoji652]
 
Mwanaume ni mwanaume tuu, Dar ni sehemu tuu kama ilivyo Tandahimba..
 
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.

Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza ni kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko make mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

3. Pia mnakuja na masimu yenu kujipigapiga picha tu na KUJIRUSHA Facebook eti mko msibani wakati hamfanyi lolote

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Hizi ni tabia za baadhi ya watu bana hasa wa mjini manake kila mkoa kuna mjini kwake pia kwa hiyo sio lazima watoke Dar
 
d0f0e7951f04b8dee37c18781d120755.jpg
 
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.

Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza ni kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko make mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

3. Pia mnakuja na masimu yenu kujipigapiga picha tu na KUJIRUSHA Facebook eti mko msibani wakati hamfanyi lolote

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
bc682d4b03fff1bb1dc9188f4e363db5.jpg

Asee nimekua nikifatilia kutoka kwny mitandao mbalimbali hasa humu JF kupitia comments nikaja kugundua kuna baadhi ya mambo akifanya mwanaume bila hata kumjua utasikia we mwanaume wa dar, mambo hayo ni km ifuatavyo:

[emoji117]badala ya kuandika Sasa, wa dar anasema xaxa
[emoji117]hutumia P kumaanisha poa
[emoji117]hutumia K kumaanisha Fresh
[emoji117]hutumia mambo kama salamu kwa mwanaume mwenzie
[emoji117]wanahangaika na nguvu za kiume kila siku
[emoji117]walaji wa viepe na broiler
[emoji117]na wenyewe wanatafuta weupe wawe km dada zao

Nawasilisha na mengine niloyasahau

Ila kwa humu Jf bila shaka huyu wakuitwa DJ Sepetu atakua wa Dar

Onyo:mkiendelea na hizo tabia wanaume wa mikoan tutakua tunatafuna vishundu vyenu
 
Back
Top Bottom