SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Wanapenda vya bure, kuuza sura, umbea, kuazima nguo, kusifia Bakharesa , Diamond na Ali Kiba kutwa, Sifa bila kitu mifukoni, wapenda shobo hata kama ni wakubwa, Wanapenda Pesa nyingi kwa kazi laini.
Daaah...mkuu waonee huruma uwasitiri kidogo.
 
Vijana wa vijijini mnapenda kujipa moyo..hamuulizi kwa nini dada zenu hawarudi huko wakija huku mjini?

Alafu vyote mnavyosema vilipaswa kusemwa na wakina dada na sio wanaume.
 
Naomba jamani ndugu zetu wa mikoani msituunganishe kwenye kundi moja na waliozaliwa hapa dar maana wengine tupo dar kikazi tu ila tabia za hawa baadhi ya wenyeji kiukweli zinatutia hofu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] Huu uzi mzuri sana kwa kuondolea stress zote za maisha ya kitaa na hata kama una njaa unakua una assume tu umeshibaaa![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Alafu mwisho wa siku wanakuja kuanza kulalamika eti.... Ohhh sina nguvu za kufanya heshima ndani.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mara.... Ohhh natafuta dawa za kuongeza nguvu za sijui ninini..[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom