Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
- Thread starter
- #261
Daaah...mkuu waonee huruma uwasitiri kidogo.Wanapenda vya bure, kuuza sura, umbea, kuazima nguo, kusifia Bakharesa , Diamond na Ali Kiba kutwa, Sifa bila kitu mifukoni, wapenda shobo hata kama ni wakubwa, Wanapenda Pesa nyingi kwa kazi laini.