scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 457
- 328
Nankitembelea vi baby walk, wanakula slesi moja mpaka jioni wanamaintain figure kama wadada sijui nani kawaloga waleNa ndio wanapenda kuitwa na wapenzi wao (baby) majina ya watoto
Hili jibu linatoshaWanaume wa dar waoga kweli vita yao na makonda wanaigeuza kijanja iwe ya nchi nzima aiseee mwanaume mmoja wa mkoani wanashindwa kumng'oa mpaka wanaomba msaada kwa ka mwanamke ka kipare kasiko hata na jeuri ya kurudi nchini.
Akifika nitagDaby.....wewe si mwanaume wa Dar? Njoo utoe povu huku kuna 'bushman' anawachokoza. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nasikia vibao kila sehemu kuongeza nguvu za kiume na kunenepesha kumbe ni kweli?Watazipata wapi mkuuu?? Kwani kule kwetu kusini tandamiti ,kiboroshule unyanyembe pinda mpaka koromije zunguka mpaka kaskazini magharibi na mashariki ushawai kikutana na vibao kama navyoviskia kwao...mara bibi kidawa mtaalamu njoo ujipatie dawa "nguvu za kiume "??
Utanishtuaa wa kwetuAkifika nitag
UtanitagDaby.....wewe si mwanaume wa Dar? Njoo utoe povu huku kuna 'bushman' anawachokoza. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wasipowezeshwa wataweza kweli?,Nasikia vibao kila sehemu kuongeza nguvu za kiume na kunenepesha kumbe ni kweli?
Kweli ndo maana makonda anawasurubu na panyaroad wanawasurubu kumbe mpaka wawezeshweWasipowezeshwa wataweza kweli?,
Viwanaume au wanaume ? Kwani na wewe ni mvulana?Viwanaume vya mikoani utavijua tu
Sawa nasubiri ila najua hawezi kuja hapaUtanishtuaa wa kwetu
Hii ungeweka na kapicha ingenoga zaidi[emoji38][emoji38]
Hawa wanaume wa Dar wanakaa kwenye kioo nusu saa ndo mana[emoji85]