SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Watazipata wapi mkuuu?? Kwani kule kwetu kusini tandamiti ,kiboroshule unyanyembe pinda mpaka koromije zunguka mpaka kaskazini magharibi na mashariki ushawai kikutana na vibao kama navyoviskia kwao...mara bibi kidawa mtaalamu njoo ujipatie dawa "nguvu za kiume "??
Nasikia vibao kila sehemu kuongeza nguvu za kiume na kunenepesha kumbe ni kweli?
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi "wanaume wa dar" ni wale wote waishio dar (kwa muda mref haijalishi umezaliwa wapi) na kuwa na tabia au makuzi ya mjini tofauti na wanaume wa sehem nyingine hapa nchini.
Ikiwemo ...........(ningetaja ila naogopa kutukanwa)
 
Back
Top Bottom