SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Kwa tafsiri isiyo rasmi "wanaume wa dar" ni wale wote waishio dar (kwa muda mref haijalishi umezaliwa wapi) na kuwa na tabia au makuzi ya mjini tofauti na wanaume wa sehem nyingine hapa nchini.
Ikiwemo ...........(ningetaja ila naogopa kutukanwa)
Taja mkuu
 
sasa kama kuna thread imeanzishwa kuhusu same topic kwa nini usiende kuchangia huko badala ya ku duplicate uzi mnatuchosha afu mnajaza servers za watu.
 
Wanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
 
Wanaume wa mikoani tunategemea mvua tu. Vibarua tunalipwa 5000 kwa siku na siyo kila siku. Kwa week hata mara 2 tu. Kiufupi huku mikoani hali yetu ya kifedha ni mbaya sana. Ila sasa yunakula na kusaza na kwa minajili hiyo tuna nguvu tele za kiume. Mgegedo mmoja ni sawa na migegedo 3 kwa mwanaume wa dar
 
Sio kweli, acheni kujidanganya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…