Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Njooni huku Dar acheni kukaa huko porini nyieViwanaume au wanaume ? Kwani na wewe ni mvulana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njooni huku Dar acheni kukaa huko porini nyieViwanaume au wanaume ? Kwani na wewe ni mvulana?
Aaah kijana unataka tuje tukusaidie kupambana na panya road au unataka tuje kufanya niniNjooni huku Dar acheni kukaa huko porini nyie
Mpate exposureAaah kijana unataka tuje tukusaidie kupambana na panya road au unataka tuje kufanya nini
Taja mkuuKwa tafsiri isiyo rasmi "wanaume wa dar" ni wale wote waishio dar (kwa muda mref haijalishi umezaliwa wapi) na kuwa na tabia au makuzi ya mjini tofauti na wanaume wa sehem nyingine hapa nchini.
Ikiwemo ...........(ningetaja ila naogopa kutukanwa)
yaja ipo njianiHii ungeweka na kapicha ingenoga zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa dar wanawaogopa panya road
Wanaume wa mikoani tunategemea mvua tu. Vibarua tunalipwa 5000 kwa siku na siyo kila siku. Kwa week hata mara 2 tu. Kiufupi huku mikoani hali yetu ya kifedha ni mbaya sana. Ila sasa yunakula na kusaza na kwa minajili hiyo tuna nguvu tele za kiume. Mgegedo mmoja ni sawa na migegedo 3 kwa mwanaume wa darWanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
Na saloni za kike wanaendanaoWanaume wa dar wanatumia mikorogo ya wake zao.
Mbavu zangu mie. Hawa wanaume wa dar ni kiboko.Na saloni za kike wanaendanao![]()
Sio kweli, acheni kujidanganya...Wanaume wa mikoani tunategemea mvua tu. Vibarua tunalipwa 5000 kwa siku na siyo kila siku. Kwa week hata mara 2 tu. Kiufupi huku mikoani hali yetu ya kifedha ni mbaya sana. Ila sasa yunakula na kusaza na kwa minajili hiyo tuna nguvu tele za kiume. Mgegedo mmoja ni sawa na migegedo 3 kwa mwanaume wa dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wanashindia soseji na chips unafikiri nguvu watatorea wapiWanaume wa dar wengi wao hawana nguvu za kiume,wanagongewa sana wake zao
hahah ndio unaputa tu mkuu ha hahahNaputa tuu