Hahahaha..huu ni utani mkuu.
Sidhani kama ni sababu ya uwoga.
Nyinyi wanawake ndio mnachangia wimbi kubwa la mashoga huko dar wengi wa hao unaofurahia mnashindanao huko saluni ni mashoga na nyinyi mnaona sawa tu mfano huuWanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
Miii simoooHaa! Haa! Mwanaume wa Dar atume m-pesa? Ndo hao wanaoongoza kwa kusema njoo uchukue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume wa dar anatongoza huku anang'ata kucha
Ohooooo!!!Wanaume wa dar wanapenda kulelewa a.k.a marioo
Mkuu hakuna mwanaume anaye weza kushindana na mahali alipo tokea....Wanaume wa mikoani tunategemea mvua tu. Vibarua tunalipwa 5000 kwa siku na siyo kila siku. Kwa week hata mara 2 tu. Kiufupi huku mikoani hali yetu ya kifedha ni mbaya sana. Ila sasa yunakula na kusaza na kwa minajili hiyo tuna nguvu tele za kiume. Mgegedo mmoja ni sawa na migegedo 3 kwa mwanaume wa dar
Leo unakimbia kivuli chako eeeh!Miii simooo
Ha! Haa! Haa! Madai yenu mwabana matumizi ya service charge!Sasa unamtumia mtu hela service chaji mpaka alfu tano au kumi,sasa sibora achukue bodaboda au uber aje aifuate tu na tuweze kuonana
Unachotaka kukifanya ni uchochezii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Leo unakimbia kivuli chako eeeh!
Mkuu my point is,wanaume wa dar dk mbili tu wazungu wanachoropokaMkuu hakuna mwanaume anaye weza kushindana na mahali alipo tokea....
Utakuja kufia kiunoni mwa mwanamke bure kwa kudhani kuwa una mkomoa au una shindana na Wanaume wa Dar....
Aheri kumfaidisha dereva bodaboda kuliko ma bepari wa mitandao ya simu.kwanza raha ya zawadi ama pesa shurti upewe mkononi,hayo mambo ya kurushiana tuwaachie wa mikoaniHa! Haa! Haa! Madai yenu mwabana matumizi ya service charge!
Ni kweli na ndiyo maana tunatekwa ovyo ovyo!Wanaume wa dar....tuko poa bhana
Haa! Haa! Haa! Wanaume wa Dar buana,wana raha yake asikwambie mtu! Nielekeze kwako nije kuchukua za Pasaka [emoji12] [emoji12] [emoji12]Aheri kumfaidisha dereva bodaboda kuliko ma bepari wa mitandao ya simu.kwanza raha ya zawadi ama pesa shurti upewe mkononi,hayo mambo ya kurushiana tuwaachie wa mikoani
Ayaah dah,Siko nchini kwa sasa,nikurudi nitakuPM mdada uje bombom kijiwe samli.au uniPM jinalako kamili nikutumie kwa Western UnionHaa! Haa! Haa! Wanaume wa Dar buana,wana raha yake asikwambie mtu! Nielekeze kwako nije kuchukua za Pasaka [emoji12] [emoji12] [emoji12]