SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Wanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
Nyinyi wanawake ndio mnachangia wimbi kubwa la mashoga huko dar wengi wa hao unaofurahia mnashindanao huko saluni ni mashoga na nyinyi mnaona sawa tu mfano huu
1df37f312aaee5b76657a99fb9d98ed1.jpg
c90d4b8951c2bd761fdd0a64c0672ec7.jpg
f3809db55fba995a30b3b7e7916a2e97.jpg
 
Wanaume wa mikoani tunategemea mvua tu. Vibarua tunalipwa 5000 kwa siku na siyo kila siku. Kwa week hata mara 2 tu. Kiufupi huku mikoani hali yetu ya kifedha ni mbaya sana. Ila sasa yunakula na kusaza na kwa minajili hiyo tuna nguvu tele za kiume. Mgegedo mmoja ni sawa na migegedo 3 kwa mwanaume wa dar
Mkuu hakuna mwanaume anaye weza kushindana na mahali alipo tokea....
Utakuja kufia kiunoni mwa mwanamke bure kwa kudhani kuwa una mkomoa au una shindana na Wanaume wa Dar....
 
Sasa unamtumia mtu hela service chaji mpaka alfu tano au kumi,sasa sibora achukue bodaboda au uber aje aifuate tu na tuweze kuonana
Ha! Haa! Haa! Madai yenu mwabana matumizi ya service charge!
 
Mkuu hakuna mwanaume anaye weza kushindana na mahali alipo tokea....
Utakuja kufia kiunoni mwa mwanamke bure kwa kudhani kuwa una mkomoa au una shindana na Wanaume wa Dar....
Mkuu my point is,wanaume wa dar dk mbili tu wazungu wanachoropoka
 
Acheni dharau zenu waleten wake zenu dar mfanye jaribio kama hatuna nguvu itafahamika
 
Ha! Haa! Haa! Madai yenu mwabana matumizi ya service charge!
Aheri kumfaidisha dereva bodaboda kuliko ma bepari wa mitandao ya simu.kwanza raha ya zawadi ama pesa shurti upewe mkononi,hayo mambo ya kurushiana tuwaachie wa mikoani
 
Aheri kumfaidisha dereva bodaboda kuliko ma bepari wa mitandao ya simu.kwanza raha ya zawadi ama pesa shurti upewe mkononi,hayo mambo ya kurushiana tuwaachie wa mikoani
Haa! Haa! Haa! Wanaume wa Dar buana,wana raha yake asikwambie mtu! Nielekeze kwako nije kuchukua za Pasaka [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Haa! Haa! Haa! Wanaume wa Dar buana,wana raha yake asikwambie mtu! Nielekeze kwako nije kuchukua za Pasaka [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ayaah dah,Siko nchini kwa sasa,nikurudi nitakuPM mdada uje bombom kijiwe samli.au uniPM jinalako kamili nikutumie kwa Western Union
 
Back
Top Bottom