Ahaa..sasa Nakuelewa !!!Nafikiri kuna vitu vya kuviangalia...
1.Chakula wanachokula
2.Kazi wanazofanya
3.Jinsi wanavyorespond kwenye hali ya hatari eg. panyaroad wanapofunga mtaa..[emoji38][emoji38]
4.Ufanisi wao katika mambo yaletayo heshima kwenye jamii..
Haya mambo
Wakati anakusuka mnakuwa mnapiga stori gani? Au stori za kuhusu mawigi mapya yaliyoingia Na mishono mipya ya kicheni patiWanaume wa mikoani karibuni Dar muone wanaume wa wanavyoishi, hawachagui kazi, unamkuta mkaka yuko saloon anasuka yebo yebo, kichwa 20,000. Mpaka jioni amekusanya 200,000 au Zaidi ya hapo, anaingia kwenye usafiri wake anakwenda kupumzika kwake.
Wakikometi watu watano wa dar hii post yako unitag mkuuWanaume wa Dar wanaongozwa na kilaza wa darasa la 7
Hapa si kupeana majaribu, mwisho umuinamishe bure.
Wanaume wa dar mmetisha
Wanagongewa na nani maana wake zao wako dar hawako mkoaniWanaume wa dar wengi wao hawana nguvu za kiume,wanagongewa sana wake zao
Hata gwajima mkuu?Wanaume wa da wengi chakula chao kikubwa CHIPS
Wanagongewa na wanaume wanaotoka mikoani kuja dar kibiashara na wale waliokuja kikaziWanagongewa na nani maana wake zao wako dar hawako mkoani
Wa mikoaniMnao comnent mngekuwa mnamalizia kujitambulisha nyie wa wapi
Kaa! Ndivyo walivyo wanaume wa dar?Wanaume wa dasaramu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu watakuua haoMwanaume wa dar anatongoza huku anang'ata kucha
Hivyo ndivyo walivyo mkuu!!!Kaa! Ndivyo walivyo wanaume wa dar?
Halafu hawa jamaa wakija mikoani huwa wanajiona sana. Yaani suruali zao ziko nusu makalioHivyo ndivyo walivyo mkuu!!!
Wanagongewa na akina nani?Wanaume wa dar wengi wao hawana nguvu za kiume,wanagongewa sana wake zao