Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
- Thread starter
- #121
Ahaa..sasa Nakuelewa !!!Nafikiri kuna vitu vya kuviangalia...
1.Chakula wanachokula
2.Kazi wanazofanya
3.Jinsi wanavyorespond kwenye hali ya hatari eg. panyaroad wanapofunga mtaa..[emoji38][emoji38]
4.Ufanisi wao katika mambo yaletayo heshima kwenye jamii..
Haya mambo