Hii chapa ya kanda ya kaskazini,living in Kilimanjaro and Arusha.Mnao comnent mngekuwa mnamalizia kujitambulisha nyie wa wapi
Mkuu angalia na hii mboga [emoji116] [emoji116], huyu ni moja ya wanaume wa dasaramu.Halafu hawa jamaa wakija mikoani huwa wanajiona sana. Yaani suruali zao ziko nusu makalio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watoto wa dar walaini sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu watakuua hao
Hadi aibu jamani. Huyu akija mkoani ataambulia viboko kwa kuvaa nguo za Dada yakeMkuu angalia na hii mboga [emoji116] [emoji116], huyu ni moja ya wanaume wa dasaramu.
Na saloni za kike wanaendanao
Mnataka kufua wanawake wa mikoani? Waume zenu hawana pesa za sabuni?Daby.....wewe si mwanaume wa Dar? Njoo utoe povu huku kuna 'bushman' anawachokoza. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Aisee!Wana deko sana
Hao ni wa tanga jamanhaijaandikwa mahali ila ni jukumu lako
Wanaume wa dasaramu
Mkuu huyo yeye kaangalia suala pesa tu na si maadili na sifa za mwanaume halisi.Nyinyi wanawake ndio mnachangia wimbi kubwa la mashoga huko dar wengi wa hao unaofurahia mnashindanao huko saluni ni mashoga na nyinyi mnaona sawa tu mfano huu
Kama dongo lilio jaa povuMnataka kufua wanawake wa mikoani? Waume zenu hawana pesa za sabuni?
Mimi sio wa Dar buanaKama dongo lilio jaa povu
Mbona jibu linaonyesha kama wa darMimi sio wa Dar buana