SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Halafu hawa jamaa wakija mikoani huwa wanajiona sana. Yaani suruali zao ziko nusu makalio
Mkuu angalia na hii mboga [emoji116] [emoji116], huyu ni moja ya wanaume wa dasaramu.
 

Attachments

  • tapatalk_1482950298154.jpeg
    tapatalk_1482950298154.jpeg
    78.2 KB · Views: 30
Daby.....wewe si mwanaume wa Dar? Njoo utoe povu huku kuna 'bushman' anawachokoza. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mnataka kufua wanawake wa mikoani? Waume zenu hawana pesa za sabuni?
 
Nyinyi wanawake ndio mnachangia wimbi kubwa la mashoga huko dar wengi wa hao unaofurahia mnashindanao huko saluni ni mashoga na nyinyi mnaona sawa tu mfano huu
1df37f312aaee5b76657a99fb9d98ed1.jpg
c90d4b8951c2bd761fdd0a64c0672ec7.jpg
f3809db55fba995a30b3b7e7916a2e97.jpg
Mkuu huyo yeye kaangalia suala pesa tu na si maadili na sifa za mwanaume halisi.
 
hawa wanuka jasho bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Wanaume wa Dar wana tabia zao za ajabu ambazo hazivumiliki kirahisi ila kwa suala la kitandani kwa kweli wanajitahidi sio kama mnavyowasema humu.
Na kingine wanaume wa Dar wako smart sana. Unaweza ukakutana na dalali kavaa utasema banker.
Na wanajitahidi sana kuhudumia jamani. Dar wanawake hatulali njaa kizembe zembe. Mwanaume akikutoa anajua unatakiwa hela ya usafiri. Kikubwa ninachowapendea wanajitahidi kutupa dada zenu wa mikoani pesa.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Back
Top Bottom