SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

SWALI: Kwani wanaume wa Dar wana tofauti gani na wa mikoa mingine?

Interesting....jana walikuwa wanajadiliwa wale wanaoandika JOMONI=JAMANI

Hizo style zao za uandishi huwa zinakera bala kabisa yaani najiuliza nini kinawafanya wasiandike neno kamili au neno fasaha??
Wee nawe umeikata sana siyo jomoni ni "jomoooniii"[emoji3][emoji3][emoji3]
 
wanaume wa dar hivi mnasubiri nini kuandamana?
 
Nasikia wakiona vinyunyu tu hawaogi maji ya baridi eti kweli?mie huko sijawahi kufika.
 
Hawa ndo wanaume wa Dar!......umeona tofauti sasa???
 

Attachments

  • IMG_20171025_084546_320.JPG
    IMG_20171025_084546_320.JPG
    26.3 KB · Views: 32
  • IMG_20161212_121901_887.JPG.jpg
    IMG_20161212_121901_887.JPG.jpg
    59.3 KB · Views: 37
  • Insta-image-2.jpg
    Insta-image-2.jpg
    14.4 KB · Views: 33
  • IMG_20171023_161332_151.JPG
    IMG_20171023_161332_151.JPG
    211.7 KB · Views: 32
Back
Top Bottom