Swali: Kwanini jamii inatunyanyasa wanaume na kuwapendelea wanawake?

Swali: Kwanini jamii inatunyanyasa wanaume na kuwapendelea wanawake?

Ni kweli jamii yetu inawapendelea wanawake tena kwa spidi kali, hususani toka kuasisiwa kwa Beijing Conference, ila mkuu umeliwakilisha tofauti na nilivyotegemea.
 
Ni kweli jamii yetu inawapendelea wanawake tena kwa spidi kali, hususani toka kuasisiwa kwa Beijing Conference, ila mkuu umeliwakilisha tofauti na nilivyotegemea.
Mkuu ulitegemea iweje?
 
Huku mtaani tumezoea mwanamke akikuangalia angalia na jicho la kiwizi wizi anakutaka. Kwa hiyo ni wewe tu
Sipingani na wewe, ila kwa nini mwanaume akimwangalia KE hivyo anaonekana mpotokaji?

Kwa mfano hapa MMU kuna nyuzi kibao za kuwalaani wanaume wanaopiga chabo.
 
Sipingani na wewe, ila kwa nini mwanaume akimwangalia KE hivyo anaonekana mpotokaji?

Kwa mfano hapa MMU kuna nyuzi kibao za kuwalaani wanaume wanaopiga chabo.
Jicho la mwanaume likimuona mwanamke linasearch zaidi ya google[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Jicho la mwanaume likimuona mwanamke linasearch zaidi ya google[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa ni kweli mkuu, mwanaume ana visual perception kubwa inayoendana na imagination kubwa pia.....ME akimuona mwanamke aliyevaa nguo ana uwezo wa kumpiga X-ray bila kukosea.
 
Hahahaa ni kweli mkuu, mwanaume ana visual perception kubwa inayoendana na imagination kubwa pia.....ME akimuona mwanamke aliyevaa nguo ana uwezo wa kumpiga X-ray bila kukosea.
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Sema ndo hivyo ME tunanyimwa haki. Ukipiga x'ray halafu ndani ukikuta hamna kitu dah inauma yani sawa na daktari kutumia x'ray kufanya upasuaji halafu hakufanikiwa
 
Kumbe ogling ni haki kwa ME?😀😀😀😀😀
 
Wanawake wapo kwa ajili ya kusikilizwa na wanaume kwa ajili ya kutenda ufanisi na usikivu
 
Jamii yetu ya leo inawapendelea wanawake kwa mambo mengi sana na hili suala linahitaji kuwa addressed

CHARMILTON popote pale ulipo huu mjadala unahitaji kuendelezwa
 
Wajumbe wa jukwaa amani iwe nanyi,

Binadamu tuna majukumu mengi sana hapa duniani, lakini jukumu moja na muhimu zaidi ni kuzaa watoto, kuwalea na kuwawezesha ili nao wazae watoto na kuendeleza jamii yetu. Lakini hatuzai tuu hovyo hovyo, lazima tutafute wenza wenye uwezo wa kuzaa na kulea/kutunza hao watoto tutakaozaa. Kwa maana hiyo kila mtu lazima atafute mwenza, amtathimini kama anao uwezo wa kuzaa na kulea watoto. Hili jambo la kutafuta wenza na kuwafanyia analysis linafanywa na KE pamoja na ME pia, tena tunalifanya bila kujua lengo lake (Unconsciously)

JINSI WANAWAKE WANAVYOTAFUTA WENZA:
Mwanamke yeye analo jukumu la kuchagua ME wa kuzaa nae, lazima ahakikishe kuwa huyo mwanaume anao uwezo wa kuhudumia familia itakayoundwa. Kwa maana hiyo, ni jambo la kawaida na haki kwa mwanamke kumchagua mwanaume mwenye PESA. Kumbuka, pesa ndiyo itakayoleta chakula, mavazi, malazi na kulipia huduma za elimu na afya kwenye familia.

Jukumu la mwanamke ni kuzaa watoto ili kuunda familia, jukumu la mwanaume ni kuhudumia familia.Familia inahudumiwa kwa kuwepo kwa fedha, na fedha italetwa na mwanaume kwenye familia (ata wanawake wanaweza pia). Mwanamke atamtambua mwanaume mwenye fedha kwa kuangalia uwepo wa vitu kama; gari analoendesha, viatu alivyo vaa, nguo, nyumba na mtaa anamoishi. Wakati wa kubaini uwepo wa hivyo viashiria vya uwezo wa ME kuhudumia familia, mwanamke atamchunguza mwanaume bila kuonekana kama muhuni huko mitaani.

JINSI WANAUME WANAVYOTAFUTA WENZA:
Mwanaume yeye ni muhudumu wa familia, anahitaji mwanamke wa kuzaa nae watoto. Mwanaume atamchagua mwanamke mwenye uwezo wa kuzaa. Hivyo mwanaume(sidhani kama ni wote) atamchagua mwanamke mwenye hips nzuri, kalio la kutosha, nyonyo ya maana na umbo zuri kwa ujumla. Sasa jamii inapotuonea wanaume ni wakati tunawachukuza wanawake kama wanafaa kuwa suitable mates, mwanaume atamdadisi mwanamke kwa kumpiga chabo (ogling). Mwanaume akikutwa anapiga chabo anaonekana kama mtu asiye na tabia nzuri ili hali anatimiza wajibu wake. Matokeo yake wanaume wamekuwa wakitimiza huu wajibu kwa kujiiba ili kuepuka kuonekana wahuni.

Kwa nini iwe haki kwa mwanamke anapomchunguza mwanaume kama anayo pesa ya kutosha kuhudumia familia lakini ni haramu kwa mwanaume kumchunguza mwanamke kama anao uwezo mzuri wa kuzaa kwa kuangalia umbo lake?

Wanawake nao wanatupiga chabo kwa kiasi kibwa sana, ila sii rahisi kubainika kwa sababu wana 'strong peripheral visions' kitu kinachowasaidia kupiga chabo bila kugeuza shingo.Sisi wanaume tuna 'strong tunnel vision than peripheral' yaani tunaona zaidi wima kwa mbele kuliko pembeni, ndio maana inatubidi tugeuze shingo wakati wa kupiga chabo, matokeo yake tunaonekana wahuni na watu wasiyo na maadili mema.

Baada ya hayo maelezo machache nauliza. KWA NINI JAMII INATUNYANYASA WANAUME NA KUWAPENDELEA WANAWAKE?
Jikaze
 
Back
Top Bottom