Swali: Kwanini jamii inatunyanyasa wanaume na kuwapendelea wanawake?

Hongera, una muda gani sasa? kwangu wananiletea vurugu hata leo nimemkanda mmoja. Nitajitahidi nianze tena kwa lengo maalum.
Nimeanza 14/2/2025 hadi leo nina mpango wa kuongeza muda hadi 2037 hapo.

Kaa mbali na porn, masturbation, sex na wanawake wazuri

Shughulisha akili yako utaweza mkuu

Note : ukianza usirudi nyuma 😁®️
 
Nimeanza 14/2/2025 hadi leo nina mpango wa kuongeza muda hadi 2037 hapo.

Kaa mbali na porn, masturbation, sex na wanawake wazuri

Shughulisha akili yako utaweza mkuu

Note : ukianza usirudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…