Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siri vipi we tutajie zawadi yenyewe tusongoke kote huko afu ukute zawadi vocha ya jeroNi siri ila naweza nikakupa hata shemeji yako ukalala nae hata usiku mmoja😛
nani apate tabu sasa ?Genius. Good try..
Though you have cheated..
1. Seven Billion Billion Billion AtomsSalute..
Nina maswali kidogo kwenu GreatThinkers (Brain Teasing), atakayepatia nitampa zawadi (Confidantial).
NB. Kua mwaminifu na msema kweli kama wewe ni mtu wa Mungu usiangalizie
Qn1: Mwili wa binaadamu umetengenezwa kwa Atoms ngapi..? (35 marks)
Qn2:
Tunga sentesi ambayo itachukua kila herufi kwenye Alphabeti zote 26, iwe na maana. (Usiache Alphabeti hata moja)
[50Marks]
Qn3:
Andika formula ambayo ukiandika inakuletea hiyo sentesi hapo juu swali namba mbili (15Marks)
NB. Ikipita saa 1 na dk 30 natoa majibu.
Tchao.
Zawadi ni kifurushi (GB)cha mwez cha mtandao wowote kuperuzi Mtandaoni.
Qn1. Atoms 4 muhimu ndizo zimetengeneza sehemu kubwa ya mwili wa binadamu.CHO+N(Carbon,Hydrogen,Oxygen na Nitrogen.
Yaliyobaki yote ni madini.
Qn2.Malkia Elizabeth anampigia chepuo Juan Quadrado kushiriki katika mdahalo FOXY NEWS unaoendeshwa na Vivian.
Qn3. ABCDEFG HIJKLMNOP QRSTUVW XYZ
Endelea...
Nangoja wataalamu wa lugha waje hapo. Nilikuwa napishana na mwalimu mlangoniSwali la kwanza umekosea japo umetoa uchambuzi mzuri.
La pili umepatia. La tatu umekosea japo umejitahidi kutumia akili zako. Nakupa 60%
Kweli kiongozi,ila atakuwa amelegeza masharti yake. Pia wapiga chabo watakuwa wameshapata wapi waanzieNasemaaa ajeee UPEWE ZAWADI
Mm ni mvivu sana mkuu. Napia mm ni msomaji tu kuchangia siwezagiJaribu nawe upate zawadi
Utapewa ata ya mshindi wa 3Kweli kiongozi,ila atakuwa amelegeza masharti yake. Pia wapiga chabo watakuwa wameshapata wapi waanzie
Jaribu nawe upate zawadi