Swali kwenu GT; atakayepatia zawadi itatolewa.

Swali kwenu GT; atakayepatia zawadi itatolewa.

marks 50 hizi hapa

Pack my box with five dozen liquor jugs
 
Salute..
Nina maswali kidogo kwenu GreatThinkers (Brain Teasing), atakayepatia nitampa zawadi (Confidantial).
NB. Kua mwaminifu na msema kweli kama wewe ni mtu wa Mungu usiangalizie

Qn1: Mwili wa binaadamu umetengenezwa kwa Atoms ngapi..? (35 marks)

Qn2:
Tunga sentesi ambayo itachukua kila herufi kwenye Alphabeti zote 26, iwe na maana. (Usiache Alphabeti hata moja)
[50Marks]


Qn3:
Andika formula ambayo ukiandika inakuletea hiyo sentesi hapo juu swali namba mbili (15Marks)


NB. Ikipita saa 1 na dk 30 natoa majibu.
Tchao.
Zawadi ni kifurushi (GB)cha mwez cha mtandao wowote kuperuzi Mtandaoni.
1. Seven Billion Billion Billion Atoms

2. Pack my box with five dozen liquor jugs

3. Pangram [rand.old]
 
ile the fox sijui jump nini nini.......hiyo....
 
Nasemaaa ajeee UPEWE ZAWADI
Qn1. Atoms 4 muhimu ndizo zimetengeneza sehemu kubwa ya mwili wa binadamu.CHO+N(Carbon,Hydrogen,Oxygen na Nitrogen.
Yaliyobaki yote ni madini.


Qn2.Malkia Elizabeth anampigia chepuo Juan Quadrado kushiriki katika mdahalo FOXY NEWS unaoendeshwa na Vivian.

Qn3. ABCDEFG HIJKLMNOP QRSTUVW XYZ
 
Swali la kwanza umekosea japo umetoa uchambuzi mzuri.
La pili umepatia. La tatu umekosea japo umejitahidi kutumia akili zako. Nakupa 60%
Nangoja wataalamu wa lugha waje hapo. Nilikuwa napishana na mwalimu mlangoni
 
1. a typical human of 70 kg, there are almost 7*1027 atoms (that's a 7 followed by 27 zeros!) Another way of saying this is "seven billion billion billion."

2. The quick brown fox jumps over the lazy dog”.

3. The formular....... a,b,c,d,e,f,g,h,I,j,k,l,m,n,o,p,q,r,s,t,u,v,w,x,y,z
 
Back
Top Bottom