BEYOND_LIMIT
Member
- Feb 10, 2017
- 88
- 109
hahahanani apate tabu sasa ?
Genius..
Umejitahidi sana kaka.. napenda mnaotumia akili zenu
duu mpaka nitulie kidogo mkuu hapa naona mawengeJitahid kubahatisha
Maswal marahis sana ... Shida nitapata sifa za kijinga sitak ngja nmwambie swalehe a log in akujibuTesla jaribu nawe...
Sawa asanteWee jinga kweli yaani
Tupe majibu..muda umeishaSalute..
Nina maswali kidogo kwenu GreatThinkers (Brain Teasing), atakayepatia nitampa zawadi (Confidantial).
NB. Kua mwaminifu na msema kweli kama wewe ni mtu wa Mungu usiangalizie
Qn1: Mwili wa binaadamu umetengenezwa kwa Atoms ngapi..? (35 marks)
Qn2:
Tunga sentesi ambayo itachukua kila herufi kwenye Alphabeti zote 26, iwe na maana. (Usiache Alphabeti hata moja)
[50Marks]
Qn3:
Andika formula ambayo ukiandika inakuletea hiyo sentesi hapo juu swali namba mbili (15Marks)
NB. Ikipita saa 1 na dk 30 natoa majibu.
Tchao.
Zawadi ni kifurushi (GB)cha mwez cha mtandao wowote kuperuzi Mtandaoni.
mkongweile the fox sijui jump nini nini.......hiyo....
We dogo unajua maana ya "kucheat"Uache kucheat bibie..
Umekosea japo umecheat
Mkubwa majibu umeshatoa maana nilikuwa mbali kidogo.Najua aliyetumia akili na kucheat.. umejitahid sana
Waiting for answers..Kwanini uniite dogo...?
Mtani.
Duuh..hayo majibu yamepita kwa speed ya dreamliner nn9
Wakuu nishatoa majibu na nilifungulia uzi kabisa nikawatag
Daah cjafanikiwa kuona kabisa.9
Wakuu nishatoa majibu na nilifungulia uzi kabisa nikawatag
Mimi pia .Daah cjafanikiwa kuona kabisa.
Hapo sawa mkubwa[emoji120]=======
Qn1:
Mwili wa binaadamu umeundwa kwa Atoms 7 Quadrions
Qn2:
The quick brown fox jumps over the lazy dog
Qn3:
=RAND()
Ukiandika hiyo formular hapo juu kwenye Ms Word yanatokea hayo maneno hayo.
=rand() kwa word 2016 haifany kaz..ila ukitype =rand.old(1,1)..walaaah! Kitu hko hapo..=======
Qn1:
Mwili wa binaadamu umeundwa kwa Atoms 7 Quadrions
Qn2:
The quick brown fox jumps over the lazy dog
Qn3:
=RAND()
Ukiandika hiyo formular hapo juu kwenye Ms Word yanatokea hayo maneno hayo.
Pamoja..nadhan ni kutokana version za officeAhsante kwa ufafanuzi wako mkuu